Hezbollah lashambulia jeshi la Israel
Kundi la wapiganaji wa Washia wa Lebanon walio chini ya vugu vugu la Hezbollah, linasema kuwa limetekeleza shambulio dhidi ya msafara wa wanajeshi wa Israeli katika mpaka wa mataifa hayo mawili.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Jeshi la Marekani lashambulia Al Shabaab
Wizara ya ulinzi ya Marekani inasema jeshi lake limefanya mashambulizi dhidi ya kundi la, Al Shabaab nchini Somalia.
11 years ago
BBCSwahili02 May
Jeshi la Syria lashambulia soko Aleppo
Jeshi la serikali la Syria limetekeleza mashambulizi katika soko moja mjini Aleppo
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Jeshi la Saudia lashambulia waasi, Yemen
Saud Arabia imeanza operesheni zake za kijeshi nchini Yemen, ikiwa ni kujibu ombi la Rais wa nchi hiyo Abd Rabbuh Mansour Hadi.
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Jeshi la ardhini la Israel laingia Gaza
Israel imeingia Gaza kwa operesheni ya ardhini,huku ikishambulia pia angani na majini,watu 247 wamefariki na wengi kujeruhiwa
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Isarel inatupeleleza: Hezbollah
Kundi la wapiganaji wa Kilebanoni la Hezbollah limethibitisha kuwa mmoja wa viongozi wa juu wa Israel anawapeleleza.
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Kamanda wa Hezbollah, auawa Damascus
Kundi la Hezbollah wanasema kuwa kamanda wao Samir Qantar aliuwawa na roketi lililopiga jumba alimokuwa akiishi katika wilaya ya Jaramana Damascus
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Kundi la Taliban lashambulia Kunduz
Mamia ya wapiganaji wa kundi la Taliban wametekeleza mashambulizi katika mji wa Kunduz uliopo kaskazini mwa Afghanistan.
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
Kundi la Alshabaab lashambulia tena Lamu
Kundi la alshabaab limekiri kutekeleza shambulizi katika basi moja la abiria katika pwani ya kenya hapo jana usiku.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Boko Haram lashambulia nchi Jirani
Kundi la wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria limeshambulia mji mmoja nchini Niger
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania