Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SOMALIA: AL SHABAAB YASHAMBULIA NA KUUA WATU 9 MOGADISHU

Maofisa wa Polisi nchini Somalia wakiingia ndani ya jengo lililovamiwa na Al Shabaab ili kukabiliana nao. Watu 9 wameripotiwa kuuawa katika jengo ya Wizara ya Elimu mjini Mogadishu, Somalia. Vyombo vya habari mjini Mogadishu vimeripoti kuwa wavamizi hao walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo la waizara ya elimu nchini humo. Kabla ya wavamizi kadhaa kuingia ndani ya jengo walianza kwa  kupiga risasi za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

AL-SHABAAB NI NANI: MAREKANI YATANGAZA KUUA KIONGOZI WA AL-SHABAAB

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza juu ya kundi haramu la kigaidi la Al-Shabaab lilivyotuma vitisho vya kutaka kuvamia Majiji ya Dar na Mwanza nchini Tanzania kupitia mkanda wa video ulioonesha mwakilishi wa Kundi la Kigaidi la Dola ya Kiislam la Iraq na Lavent (ISIL), akimtaka Kiongozi wa Al-Shabaab kujiimarisha na kufanya mashambulizi kwenye majiji hayo. SASA ENDELEA… Katika kipindi hicho, polisi wa Tanzania...

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab washambulia Mogadishu

Wamelipua mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya gari moja nje ya hoteli hoteli na kuwajeruhi wanne

 

9 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab yashambulia kambi ya AMISOM

Kundi la wapiganaji wa Kiislamu Al Shabaab limeshambulia kambi ya walinda usalama wa muungano wa Afrika AMISOM nchini Somalia

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbunge auawa na Al Shabaab Mogadishu

Mbunge mmoja ameuawa na mwingine kujeruhiwa katika shambulizi la bomu mjini Mogadishu ambalo kundi la Al Shabaab limekiri kufanya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al shabaab yashambulia kituo cha Amisom

Watu 30 wameripotiwa kufa baada ya shambulizi la kigaidi katika kituo cha kijeshi cha Amisom kinachoendeshwa na wanajeshi wa Burundi.

 

10 years ago

GPL

KENYA YALIPIZA KISASI, YASHAMBULIA MAKAZI YA AL-SHABAAB

Wanajeshi wa Kenya. Mpiganaji shambulio la Garrisa afahamika SERIKALI ya Kenya imesema mmoja ya wapiganaji waliohusika katika kushambulia Chuo Kikuu cha Garrisa nchini humo na kuwaua wanafunzi, wafanyakazi wa chuo na raia wengine huku wengine wakiachwa majeruhi, ametambulika kuwa ni mtoto wa ofisa wa serikali nchini Kenya. Msemaji wa Wizara ya… ...

 

10 years ago

BBC

Somalia blast at Mogadishu hotel

A bomb explodes in Somalia at ahotel in Mogadishu used by diplomats and government officials, killing at least four, witnesses say.

 

10 years ago

GPL

AL SHABAB YASHAMBULIA OFISI YA UN PUNTLAND, SOMALIA

Kikundi cha wapiganaji cha Al Shabaab. Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab leo tena kimefanya shambulio katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika mji wa Garowe huko Puntland nchini Somalia. Habari zinasema kuwa, shambulio hilo lilikuwa la kujilipua kwa mabomu limesababisha vifo vya watu wanaokaribia kumi wakiwemo raia nwa Kenya wawili. Taarifa kutoka kutoka kwa Ofisa wa polisi ya mji wa Garowe, Mohamed Abdi amesema mlipuko huo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mpwa wa rais wa Somalia auawa Mogadishu

Mpwa wa rais wa Somali Hassan Sheikh Mohamud ameuawa katika mji mkuu wa Mogadishu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani