Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge auawa na Al Shabaab Mogadishu

Mbunge mmoja ameuawa na mwingine kujeruhiwa katika shambulizi la bomu mjini Mogadishu ambalo kundi la Al Shabaab limekiri kufanya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBUNGE WA SOMALIA, YUSUF DIRIR AUAWA KATIKA SHAMBULIO MOGADISHU

Gari alilokuwemo Yusuf Dirir. MBUNGE wa Somalia, Yusuf Dirir ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji wa Mogadishu jana.
Wanausalama wameeleza kuwa Yusuf Dirir aliuawa baada ya gari lake kushambuliwa na wanamgambo wanaodhaniwa kuwa wa Kundi la Al Shabaab. Wapiganaji wa Al Shabaab. Wafanyakazi wengine watatu wa Wizara ya Usafirishaji nao pia waliuawa katika shambulio lingine lililotokea jana.
Takribani wabunge watano waliuawa na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab washambulia Mogadishu

Wamelipua mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya gari moja nje ya hoteli hoteli na kuwajeruhi wanne

 

10 years ago

GPL

SOMALIA: AL SHABAAB YASHAMBULIA NA KUUA WATU 9 MOGADISHU

Maofisa wa Polisi nchini Somalia wakiingia ndani ya jengo lililovamiwa na Al Shabaab ili kukabiliana nao. Watu 9 wameripotiwa kuuawa katika jengo ya Wizara ya Elimu mjini Mogadishu, Somalia. Vyombo vya habari mjini Mogadishu vimeripoti kuwa wavamizi hao walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo la waizara ya elimu nchini humo. Kabla ya wavamizi kadhaa kuingia ndani ya jengo walianza kwa  kupiga risasi za...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mpwa wa rais wa Somalia auawa Mogadishu

Mpwa wa rais wa Somali Hassan Sheikh Mohamud ameuawa katika mji mkuu wa Mogadishu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jasusi wa Al Shabaab auawa Somalia

Wakaazi wa Kusini mwa Somalia, wameambia BBC kuwa kamanda wa Al Shabaab ambaye pia ni jasusi mkuu wa kundi hilo ameuawa na majeshi ya Marekani

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab 1 raia wa UK auawa Kenya

Utafiti wa DNA unatarajiwa kuthibitisha kuwa mmoja wa wapiganaji 11 wa Al shabaab waliouawa na wanajeshi wa Kenya ni raia wa UK

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Shabaab auawa Somalia

Kongozi mmoja wa kundi la Al Shabaab Abdirahman Sandhere ameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani.

 

10 years ago

StarTV

Al Shabaab 1 raia wa Uingereza auawa Kenya


Al Shabaab mmoja raia wa UK auawa Kenya

Utafiti wa DNA unatarajiwa kuthibitisha kuwa mmoja wa wapiganaji 11 wa Al shabaab waliouawa na wanajeshi wa Kenya hapo jana alikuwa ni raia wa Uingereza.

Duru za kijasusi za jeshi la Kenya zinasema kuwa mmoja kati ya watu wawili wazungu waliouawa anafahamika kama Thomas Evans, 25, ambaye ni raia wa Uingereza na anayetokea Buckinghamshire.

Bwana Evans, alisilimu na kubadili jina lake na kuitwa Abdul Hakim.

Familia yake imeiambia BBC kuwa inasubiri...

 

10 years ago

GPL

MWINGEREZA ALIYESILIMU AUAWA AKIWA NA AL-SHABAAB KENYA

Mpiganaji wa Al Shabaab, Thomas Evans aliyeuawa kwenye mapigano ya kundi hilo dhidi ya Jeshi la Kenya, anadaiwa kuwa raia wa Uingereza . Wapiganaji 11 wa Al Shabaab wakiwa wameuawa baada ya mapigano makali na Jeshi la Kenya  huko Lamu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani