Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Al Shabaab 1 raia wa UK auawa Kenya

Utafiti wa DNA unatarajiwa kuthibitisha kuwa mmoja wa wapiganaji 11 wa Al shabaab waliouawa na wanajeshi wa Kenya ni raia wa UK

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Al Shabaab 1 raia wa Uingereza auawa Kenya


Al Shabaab mmoja raia wa UK auawa Kenya

Utafiti wa DNA unatarajiwa kuthibitisha kuwa mmoja wa wapiganaji 11 wa Al shabaab waliouawa na wanajeshi wa Kenya hapo jana alikuwa ni raia wa Uingereza.

Duru za kijasusi za jeshi la Kenya zinasema kuwa mmoja kati ya watu wawili wazungu waliouawa anafahamika kama Thomas Evans, 25, ambaye ni raia wa Uingereza na anayetokea Buckinghamshire.

Bwana Evans, alisilimu na kubadili jina lake na kuitwa Abdul Hakim.

Familia yake imeiambia BBC kuwa inasubiri...

 

10 years ago

GPL

MWINGEREZA ALIYESILIMU AUAWA AKIWA NA AL-SHABAAB KENYA

Mpiganaji wa Al Shabaab, Thomas Evans aliyeuawa kwenye mapigano ya kundi hilo dhidi ya Jeshi la Kenya, anadaiwa kuwa raia wa Uingereza . Wapiganaji 11 wa Al Shabaab wakiwa wameuawa baada ya mapigano makali na Jeshi la Kenya  huko Lamu.…

 

10 years ago

Habarileo

Jambazi raia wa Kenya auawa Tarime

WATU wawili akiwemo mkazi wa kitongoji cha Nchoke katika Kijiji cha Kubiterere, Kata ya Mwema wilayani hapa, Mwikwabe Kirutu (30) wameuawa katika mapambano baina ya wananchi na majambazi waliokuwa na bunduki mbili za kivita kijijini hapo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbunge auawa na Al Shabaab Mogadishu

Mbunge mmoja ameuawa na mwingine kujeruhiwa katika shambulizi la bomu mjini Mogadishu ambalo kundi la Al Shabaab limekiri kufanya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Shabaab auawa Somalia

Kongozi mmoja wa kundi la Al Shabaab Abdirahman Sandhere ameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jasusi wa Al Shabaab auawa Somalia

Wakaazi wa Kusini mwa Somalia, wameambia BBC kuwa kamanda wa Al Shabaab ambaye pia ni jasusi mkuu wa kundi hilo ameuawa na majeshi ya Marekani

 

5 years ago

BBCSwahili

Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini

Kenya raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi Kenya baada ya kusambaa kwa video mtandaoni ikionesha mkenya akichapwa viboko.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya Al Shabaab vinaathiri raia-UN

Umoja wa mataifa umesema mashambulizi ya kijeshi nchini Somalia dhidi ya wapiganaji wa Kiislamu yamewaathiri watu milioni 3

 

9 years ago

BBCSwahili

Mpiganaji wa IS raia wa Uingereza auawa.

Marekani imesema mpiganaji wa Kiingereza, ambaye alijiunga na kundi la Islamic State ameuawa katika shambulio la anga nchini Syria

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani