Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa Al Shabaab ashambuliwa

Jeshi la Marekani limefanya shambulizi la makombora dhidi ya mtu anayeshukiwa kuwa mmoja wa viongozi wa al-Shabaab nchini Somalia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

AL-SHABAAB NI NANI: MAREKANI YATANGAZA KUUA KIONGOZI WA AL-SHABAAB

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza juu ya kundi haramu la kigaidi la Al-Shabaab lilivyotuma vitisho vya kutaka kuvamia Majiji ya Dar na Mwanza nchini Tanzania kupitia mkanda wa video ulioonesha mwakilishi wa Kundi la Kigaidi la Dola ya Kiislam la Iraq na Lavent (ISIL), akimtaka Kiongozi wa Al-Shabaab kujiimarisha na kufanya mashambulizi kwenye majiji hayo. SASA ENDELEA… Katika kipindi hicho, polisi wa Tanzania...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa waasi ashambuliwa Ukraine

Mwanasiasa anayetambulika kama muasi mkuu nchini Ukraine yuko katika hali mahututi hospitalini baada ya watu waliokuwa wamejihami kumpiga risasi akiwa ndani ya gari lake.

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA MAGHARIBI ASHAMBULIWA

Makamu Mwenyekiti Uenezi CHADEMA, Kanda ya Magharibi, Deogratius Liyunga akiwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana (Picha na Editha Karlo). Na Editha Karlo, Kigoma
WATU wasiojulikana wamemvamia na kumpiga pamoja na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia vitu vyenye ncha kali Makamu Mwenyekiti wa uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya...

 

11 years ago

Michuzi

KIONGOZI WA CHADEMA MKOANI KIGOMBA ASHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA

Maelezo ya picha;Makamu mwenyekiti Uenezi CHADEMA kanda ya Magharibi Deogratius Liyunga akiwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa wa Kigoma(Maweni)baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana(Picha na Editha Karlo).
Na Editha Karlo,Kigoma.
WATU wasiojulikana wamemvamia na kumpiga pamoja na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia vitu vyenye ncha kali Makamu Mwenyekiti wa uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Magaharibi,Deogratius Liyunga na kupelekea kulazwa...

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA ZAMANI WA MUNGIKI ASHAMBULIWA, WATANO WAPOTEZA MAISHA

Aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Mungiki, Maina Njenga akiwa Hospitali ya Wilaya ya Nyahururu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. WATU watano wamepoteza maisha huku aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Mungiki, Maina Njenga akijeruhiwa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana nchini Kenya jana. Maina alikuwa akisafiri na wenzake kwa shughuli za kifamilia kabla ya kushambuliwa kwa risasi katika barabara ya Ol Kalou,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al-Shabaab akamatwa

Kiongozi mkuu wa kundi la wapiganaji wa Alshabaab amekamatwa karibu na mji mmoja karibu na mpaka wa Kenya na Somali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Shabaab auawa Somalia

Kongozi mmoja wa kundi la Al Shabaab Abdirahman Sandhere ameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani.

 

11 years ago

GPL

MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI‏

Tukiacha mbali picha ambayo mara nyingi au kwa miaka mingi imekuwa ikijengwa  vichwani mwa wengi wanapoona na kudhani kwamba fulani ni kiongozi bora [pengine kwa muonekano tu], au kwa sababu anashuka kutoka kwenye gari kwa mbwembwe, tabasamu baada ya kufunguliwa mlango na mkanda na kisha kupokelewa briefcase yake, yapo mambo kadhaa ambayo yanamfanya mtu awe kiongozi bora na sio bora kiongozi. Na kadri siku zinavyokwenda,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kificho ashambuliwa

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamemshambulia Mwenyekiti wa muda wa Bunge hilo, Pandu Ameir Kificho,  kwa kuliendesha kisiasa.  Mashambulizi hayo waliyatoa jana mara baada ya kuahirishwa  kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani