KIONGOZI WA CHADEMA MKOANI KIGOMBA ASHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA
![](http://2.bp.blogspot.com/-R96KkFzbKqA/U7kdC6dikoI/AAAAAAAFvR4/kJFecBZT6Iw/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Maelezo ya picha;Makamu mwenyekiti Uenezi CHADEMA kanda ya Magharibi Deogratius Liyunga akiwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa wa Kigoma(Maweni)baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana(Picha na Editha Karlo).
Na Editha Karlo,Kigoma.
WATU wasiojulikana wamemvamia na kumpiga pamoja na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia vitu vyenye ncha kali Makamu Mwenyekiti wa uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Magaharibi,Deogratius Liyunga na kupelekea kulazwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akTUaZfqXTUUFqhJqf2AF6D1pc4vn5cRSsrQ6evgxSkLn5qJ-chdEI-9UTdurLKqxCe63F2*pMchb4W79hfeNYCn/liyunga.jpg)
KIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA MAGHARIBI ASHAMBULIWA
11 years ago
Michuzi15 May
Mtu mmoja afa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana mkoani Pwani
MLINZI Bakari Mape (70) mkazi wa Mlandizi wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani ameuwawa kwa kunyongwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Watu hao ambao idadi yao haikuweza kufahamika mara moja walimwua mlinzi huyo kwa kumvunja shingo kisha kuiba kwenye duka ambalo mlinzi huyo alikuwa akililinda.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Mwandamizi Msaidizi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
NEWS ALERT: Mtoto wa miaka 5 apoteza maisha baada ya kubakwa na watu wasiojulikana Mkoani Kigoma!
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya tukio la kubakwa kwa mtoto wa miaka 5, lililotokea jana mkoani humo. (Picha na mwanahabari wetu)
Na Mwandishi Wetu
[KIGOMA] Mtoto mmoja alitambulika kwa majina, Asifiwe Amos mwenye miaka mitano (5) na mkazi wa kijiji cha Katuguru Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana na kupelekea kifo chake hicho.
Akizungumza na Waandishi wa...
11 years ago
Michuzi22 May
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
Kiongozi wa Al Shabaab ashambuliwa
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Kiongozi wa waasi ashambuliwa Ukraine
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhKaa56BSVW6NPVMF9Vm3a41tJ156vkpxoerWhgYtL4nc7bbuIgMbVrpkhHm8Y2YL1ujTq-j-cVe*6yPE-8sghk3V7ZuY8in/njenga.jpg)
KIONGOZI WA ZAMANI WA MUNGIKI ASHAMBULIWA, WATANO WAPOTEZA MAISHA
11 years ago
Habarileo13 Jan
Watu wasiojulikana wahujumu gridi ya Taifa
WATU wasiojulikana wilayani Kahama, wameangusha nguzo mbili kubwa za chuma zinazosafirisha umeme wa gridi ya Taifa na kuchukua baadhi ya vyuma. Hali hiyo imesababisha maeneo kadhaa mikoa ya Mwanza, Geita na Shinyanga kukosa umeme.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ
Habari tulozipata si muda mrefu kwamba Wamasai wamepewa kichapo na watu wasiojulikana Kundi la Wamasai 8 walikuwa katika ghasia hizo ambapo walikuwa wakishambuliwa ba kundi la Ubayaubaya. Ugomvi ulianzia mitaa ya Darajabovu ambapo Wamasahai hao walikabiliana […]
The post Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ appeared first on Mzalendo.net.