KIONGOZI CCM AUAWA KWA SHOKA!
![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yK1VfwybD97lDKfIyIR*AMcnqG8AI7M3cPOh7IcS9y*kae74glrvXw3EPDT8jkmnuldstId*gQuRn*qsKxCWaEZ/KIONGOZI.jpg)
Stori: Haruni Sanchawa na Gabriel Ng’osha KIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Shina Namba 30, Kigamboni Kisiwani jijini Dar, Bernadetha Shabani (53) amefariki dunia baada ya kupigwa shoka la kichwa na anayedaiwa kuwa ni mpangaji wake aliyefahamika kwa jina la Shija Ng’waya (33). Bernadetha Shabani enzi za uhai wake. Tukio hilo la kikatili lilijiri Mei 5, mwaka huu nyumbani kwa marehemu, Kigamboni jijini Dar es...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Jan
Auawa kwa shoka, anyofolewa ulimi
IMANI ya ushirikina, ajali na vitendo vya ukatili dhidi ya binadamu vimesababisha wananchi wa mikoa ya Mbeya kugubikwa na simanzi kutokana na mauaji ya kutisha.
10 years ago
BBCSwahili24 May
Kiongozi wa upinzani auawa Burundi
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Kiongozi wa NCCR auawa Serengeti
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Kiongozi wa Al Shabaab auawa Somalia
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Kiongozi wa Al shabab auawa Somalia
10 years ago
BBCSwahili28 Feb
Kiongozi wa upinzani auawa Urusi
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Kiongozi wa kundi la waasi auawa Syria