Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan

Kiongozi mwandamizi wa kundi la Al Qaeda anayeshukiwa kupanga kulipuwa treni mijini New York na London ameuawa nchini Pakistan

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa

Tawi la kundi la Al Qaeda nchini Yemen limethibitisha kuuawa kwa kiongozi wake na ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani

 

5 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al-Qaeda al-Raymi auawa na shambulio la Marekani

Qasim al-Raymi, Kiongozi wa kundi la AQAP tangu mwaka 2015, ameuawa na vikosi vya Marekani vilivyokuwa vikitekeleza operesheni zake nchini Yemen.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Qaeda ameuawa

Jeshi la Marekani linasema kuwa kiongozi mmoja wa kundi la kigaidi la al-Qaeda, ameuwaua katika shambulio la angani lililotekelezwa na ndege za kijeshi za Marekani nchini Syria.

 

5 years ago

CCM Blog

UFARANSA YAPONGEZA MAUAJI YA KIONGOZI WA AL- QAEDA


Ufaransa imepongeza mauaji ya kiongozi wa kundi la Al-Qaeda katika eneo la Afrika Kaskazini wakati wa operesheni dhidi ya kundi hilo linalofanya mashambulizi makali katika eneo la Sahel. 


Waziri wa ulinzi wa Ufaransa Florence Parly, amesema kuwa Abdelmalek Droukdel aliuawa na wanajeshi wa Ufaransa siku ya Alhamisi katika eneo la Kaskazini mwa Mali karibu na mpaka na Algeria ambapo kundi hilo lina ngome zake linalozitumia kufanya mashambulizi ya mabomu na utekaji nyara wa raia wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al Qaeda kumtii mkuu wa Taliban

Kiongozi wa Al-Qaeda Ayman al-Zawahiri amekariri kumtii kiongozi wa Taliban nchini Afghanistan Mullah Akhtar Mansour

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA NGAZI YA JUU WA AL QAEDA AUAWA LIBYA

Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Al Qaeda, Mokhtar Belmokhtar aliyeuawa. KAMANDA wa ngazi ya juu wa Kundi la Kigaidi la Al Qaeda, Mokhtar Belmokhtar ameuawa katika mashambulizi ya yaliyofanywa na Jeshi la Marekani nchini Libya. Inasemekana kuwa, watu wengine kadhaa wameuawa wakati wa mashambulizi hayo. Kwa upande wake, Wizara ya Ulinzi ya Marekani kupitia Makao Makuu ya Jeshi la nchi hiyo (Pentagon) imedai kuhusika...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Pakistan

Watu wenye silaha wamemuua kwa kumpiga risasi mwandish maarufu wa habari katika mji wa Karachi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati maarufu auawa Pakistan

Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu nchini Pakistan Sabeen Mehmud ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mji mkuu Karachi

 

11 years ago

BBCSwahili

Kamanda mkuu wa Taliban auawa Pakistan

Kamanda mkuu wa Taliban nchini Pakistan, Asmatullah Shaheen ameuawa kwa kupigwa risasi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani