Kamanda mkuu wa Taliban auawa Pakistan
Kamanda mkuu wa Taliban nchini Pakistan, Asmatullah Shaheen ameuawa kwa kupigwa risasi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulkfzQZURzKSu9bNEmgM8aDXkw05KQ5NuzrRKYv3b95jC3em-5AqYnGP9RN6ze2zC1NwYJTbk2*3p6yRaJyLqYl-/Meja.jpg?width=650)
KAMANDA MKUU WA BOKO HARAMU AUAWA, NGOME YAO YASAMBALATISHWA
Meja Jenerali Chris Olukolade. Msemaji wa jeshi la Nigeria amesema kuwa, vikosi vya nchi hiyo vimemuua kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram. Meja Jenerali Chris Olukolade amesema kuwa, Abu Mojahid kamanda wa ngazi za juu wa kundi la Boko Haram ameuawa katika mapigano kati ya jeshi la Nigeria na wapiganaji wa kundi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Msemaji wa jeshi la Nigeria ameongeza kuwa,...
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Pakistan kuzungumza na Taliban
Kundi la waakilishi wa serikali nchini Pakistan linasafiri kuelekea katika eneo la wapiganaji wa Taliban Kaskazini Magharibi mwa taifa hilo.
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Ndege za Pakistan zaua Taliban 15
Ndege za jeshi la Pakistan zimeshambulia maficho ya Taliban huko Waziristan
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Taliban laua wanafunzi Pakistan
Wapiganaji wa kundi la Taliban wamevamia shule moja inayoendeshwa na jeshi la Pakistan.
11 years ago
BBCSwahili15 Jun
Jeshi la Pakistan lawaandama Taliban
Jeshi la Pakistan lafanya operesheni ya kuwasaka na "kuwafyeka" magaidi karibu na mpaka wa Afghanistan
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
Kamanda wa Pakistan ziarani Afghanistan
Kamanda wa jeshi la Pakistan, amewasili katika mji mkuu wa Afghanistan kushauriana na rais Ashraf Ghani kuhusu wapiganaji wa Taliban
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan
Kiongozi mwandamizi wa kundi la Al Qaeda anayeshukiwa kupanga kulipuwa treni mijini New York na London ameuawa nchini Pakistan
10 years ago
BBCSwahili25 Apr
Mwanaharakati maarufu auawa Pakistan
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu nchini Pakistan Sabeen Mehmud ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mji mkuu Karachi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania