Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMANDA MKUU WA BOKO HARAMU AUAWA, NGOME YAO YASAMBALATISHWA

Meja Jenerali Chris Olukolade. Msemaji wa jeshi la Nigeria amesema kuwa, vikosi vya nchi hiyo vimemuua kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram. Meja Jenerali Chris Olukolade amesema kuwa, Abu Mojahid kamanda wa ngazi za juu wa kundi la Boko Haram ameuawa katika mapigano kati ya jeshi la Nigeria na wapiganaji wa kundi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Msemaji wa jeshi la Nigeria ameongeza kuwa,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kamanda mkuu wa Taliban auawa Pakistan

Kamanda mkuu wa Taliban nchini Pakistan, Asmatullah Shaheen ameuawa kwa kupigwa risasi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamanda CHADEMA auawa

KATIBU wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kata ya Runazi, Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Oliva Evodius, ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana. Kifo...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAMANDA ALPHONSE MAWAZO AUAWA

Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita ameuawa kwa kupigwa mapanga na watu wasiojulikana na kusababisha kufariki duniani.  TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI KADIRI TUTAKAVYOPATA.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kamanda wa Hezbollah, auawa Damascus

Kundi la Hezbollah wanasema kuwa kamanda wao Samir Qantar aliuwawa na roketi lililopiga jumba alimokuwa akiishi katika wilaya ya Jaramana Damascus

 

11 years ago

BBCSwahili

Kamanda wa DRC auawa vitani Kivu

Kamanda wa majeshi ya serikali yanayopigana dhidi ya kundi la wapiganaji wa kiisilamu wa Uganda, mashariki mwa nchi ameuawa.

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA NGAZI YA JUU WA AL QAEDA AUAWA LIBYA

Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Al Qaeda, Mokhtar Belmokhtar aliyeuawa. KAMANDA wa ngazi ya juu wa Kundi la Kigaidi la Al Qaeda, Mokhtar Belmokhtar ameuawa katika mashambulizi ya yaliyofanywa na Jeshi la Marekani nchini Libya. Inasemekana kuwa, watu wengine kadhaa wameuawa wakati wa mashambulizi hayo. Kwa upande wake, Wizara ya Ulinzi ya Marekani kupitia Makao Makuu ya Jeshi la nchi hiyo (Pentagon) imedai kuhusika...

 

10 years ago

GPL

MATEKA 27 WAACHIWA NA BOKO HARAMU

Rais wa Cameroon, Rais wa Cameroon, Chantal Biya. Rais wa Cameroon, Rais wa Cameroon, Chantal Biya leo amesema mateka 27 wakiwemo raia 10 wa China na mke wa naibu waziri mkuu wa nchi hiyo wameachiwa na Kundi la Boko Haram. (CREDIT: BBC SWAHILI)

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haramu wajisalimisha kwa IS.

Kundi la wanamgambo wa kiislam la Islamic State limekubaliana na kiapo cha utii kutoka kwa kikundi cha Nigeria cha Boko Haram.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani