UFARANSA YAPONGEZA MAUAJI YA KIONGOZI WA AL- QAEDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-SyImd2TIvL0/XtyF7qxPjvI/AAAAAAAC6-Y/N1hsu6qQN-Qm3e1ucQF_mTu5g7QO60t2ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Ufaransa imepongeza mauaji ya kiongozi wa kundi la Al-Qaeda katika eneo la Afrika Kaskazini wakati wa operesheni dhidi ya kundi hilo linalofanya mashambulizi makali katika eneo la Sahel.
Waziri wa ulinzi wa Ufaransa Florence Parly, amesema kuwa Abdelmalek Droukdel aliuawa na wanajeshi wa Ufaransa siku ya Alhamisi katika eneo la Kaskazini mwa Mali karibu na mpaka na Algeria ambapo kundi hilo lina ngome zake linalozitumia kufanya mashambulizi ya mabomu na utekaji nyara wa raia wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Kiongozi wa Al Qaeda ameuawa
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Kiongozi wa Al Qaeda kumtii mkuu wa Taliban
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kiongozi wa Al-Qaeda al-Raymi auawa na shambulio la Marekani
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Washukiwa wa mauaji Ufaransa wauawa
11 years ago
BBCSwahili06 Apr
Rwanda yaishtumu Ufaransa kuhusu mauaji
9 years ago
BBCSwahili30 Dec
Kiongozi wa IS aliyehusishwa na mauaji Paris auawa
11 years ago
GPL![](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2014/02/leadtheway_21x16-5.jpg?width=600)
MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI