Wanaotuhumiwa kumuua sista wadaiwa kupora benki
WATUHUMIWA wanaodaiwa kumuua Sista Cresencia Kapuli na kumpora Sh milioni 20, jana wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki ya Barclays.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo31 Jan
Wanaotuhumiwa kumuua Dk Mvungi wabanwa
WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi wamesomewa mashitaka yao upya na baadhi yao kudai hawana imani na Mkuu wa Gereza la Segerea.
11 years ago
Habarileo02 Jul
Mbaroni wakituhumiwa kumuua sista
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu nane wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi sugu. Wawili kati yao wanahusishwa na tukio la kuuawa kwa Sista Cresencia Kapuri (50) wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam katika Parokia ya Makoka.
11 years ago
CloudsFM02 Jul
MAJAMBAZI YANAYODAIWA KUMUUA SISTA KWA RISASI, UBUNGO YAKAMATWA
Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia Kapuli,
Zaidi ya watuhumiwa hao pia watu wengine sita wanashikiliwa wakihusishwa na matukio mbali mbali ya ujambazi nchini.
Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar esSalaam Kamishna Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari,aliwataja majambazi wanaohusishwa na mauaji ya Sista Kapuli kuwa ni Manase Ogenyeke “mjeshi” (35)...
10 years ago
Habarileo15 Oct
JKT wadaiwa kupora samaki
WAVUVI wanaovua samaki katika Ziwa Victoria eneo la Kijiji cha Mugara, Kata ya Iramba Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia watu wanaodaiwa kuwa askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kuvamia na kupora zana zao za uvuvi na samaki.
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Watoto wadaiwa kumuua baba yao Kagera
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Polisi Mbezi wadaiwa kumuua fundi ujenzi
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Wananchi wadaiwa kumuua mama, mtoto Tabora
11 years ago
Habarileo30 Jul
Majambazi washtukiwa wakitaka kupora benki
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linaendelea kuwatafuta watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliofika katika Benki ya Stanbic tawi la Kariakoo juzi mchana kwa lengo la kufanya uporaji.
11 years ago
CloudsFM18 Jun
MAJAMBAZI WAUAWA NA WANANCHI KATIKA JARIBIO LA KUPORA BENKI, DAR
Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kutaka kupora fedha kwa mmoja wa wateja aliyekuwa ndani ya benki ya NMB tawi la uwanja wa ndege,wakiwa na pikipiki aina ya Boxer wameuawa na wananchi waliamua kujichukulia sheria mkononi,huku jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar-es-Salaam likiwashikilia watu watatu mmoja akiwa ni mganga aliyekuwa akiwatibu kwa nguvu za giza na kudai kuwapa nguvu.
Kamanda wa polisi kanda ya maalumu ya Dar-es-salaam,kamishana wa polisi Selemani...