MAJAMBAZI YANAYODAIWA KUMUUA SISTA KWA RISASI, UBUNGO YAKAMATWA
Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia Kapuli,
Zaidi ya watuhumiwa hao pia watu wengine sita wanashikiliwa wakihusishwa na matukio mbali mbali ya ujambazi nchini.
Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar esSalaam Kamishna Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari,aliwataja majambazi wanaohusishwa na mauaji ya Sista Kapuli kuwa ni Manase Ogenyeke “mjeshi” (35)...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Majambazi yamuua Sista kwa risasi Dar
WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamemuua kwa kumpiga risasi mtawa wa Kanisa Katoliki, Sista Clezensia Kapuli ambaye ni mhasibu wa Shule ya Sekondari Mwenyeheri Anuwarite, iliyopo Ubungo Makoka jijini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MAJAMBAZI YAUA SISTA UBUNGO
11 years ago
Habarileo02 Jul
Mbaroni wakituhumiwa kumuua sista
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu nane wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi sugu. Wawili kati yao wanahusishwa na tukio la kuuawa kwa Sista Cresencia Kapuri (50) wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam katika Parokia ya Makoka.
11 years ago
Habarileo09 Jul
Wanaotuhumiwa kumuua sista wadaiwa kupora benki
WATUHUMIWA wanaodaiwa kumuua Sista Cresencia Kapuli na kumpora Sh milioni 20, jana wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki ya Barclays.
11 years ago
Mwananchi24 Jun
Majambazi wamuua sista, wapora fedha
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Sista aliyeuawa na majambazi kuagwa leo
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Majambazi yajeruhi polisi wawili kwa risasi
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Majambazi Bunda yaua muuza vitumbua kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
WAKAZI wa mji wa Bunda mkoani Mara hivi sasa wanaishi maisha ya hofu baada ya kundi la majambazi kuvamia na kumuua muuza vitumbua.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:40 usiku na kusababisha taharuki kwa wananchi ambao walilazimika kukimbia kunusuru uhai wao.
Majambazi hayo yalivamia katika eneo jirani na Benki ya NMB Tawi la Bunda na kufyatua risasi ambayo ilimuua kijana huyo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, majambazi hayo pia yalivamia katika vibanda vya...
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Majambazi Moshi wamuua mshirika wao kwa risasi