Majambazi wamuua sista, wapora fedha
>Majambazi wamemuua kwa risasi Sista wa Kanisa Katoliki Clencensia Kapuli (50) na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambacho hakijajulikana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Jun
Majambazi waua mtawa, wapora fedha
MAJAMBAZI wamemuua kwa kumpiga risasi Mhasibu wa Kanisa Katoliki, Usharika wa Makoka, jijini Dar es Salaam, Sista Prisencia Kapuli na kisha kumpora fedha zinazokadiriwa kuwa zaidi ya Sh milioni 10 alizokuwa nazo.
10 years ago
Habarileo18 Aug
Majambazi waua, wapora fedha, simu
KUNDI la watu zaidi ya 10 wanaosadikiwa kuwa majambazi, wameua watu wawili, kujeruhi wengine kadhaa na kupora fedha za mauzo ya baa na simu katika mji wa Sirari.
11 years ago
Habarileo28 May
Majambazi waua 3, wapora vocha, fedha
WATU watatu wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi usiku wa kuamkia jana katika matukio na maeneo tofauti ya wilaya za Kahama na Shinyanga mkoani hapa.
10 years ago
GPLMAJAMBAZI WAPORA FEDHA MIKOCHENI, WAKIMBIA, WAWILI WAKAMATWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MAJAMBAZI YAUA SISTA UBUNGO
10 years ago
Habarileo23 Sep
Majambazi waua, wapora
WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanatuhumiwa kumwua mtu mwenye umri kati ya miaka 35 na 40 ambaye jina lake halikuweza kufahamika na kumjeruhi mwingine. Tukio hilo lilifanyika kwenye maduka yaliyopo kwenye Stendi Kuu ya Maili Moja wilayani Kibaha, jirani na kituo cha Polisi baada ya watu hao kufanya tukio la uhalifu.
10 years ago
Habarileo20 Jun
Majambazi 7 wamuua mfanyabiashara kwa 300,000/-
MAJAMBAZI 7 wakiwa na silaha mbalimbali wamemuua kwa kumpiga risasi mfanyabiashara Felix Laungeni (58) ambaye ni mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Sista aliyeuawa na majambazi kuagwa leo
10 years ago
Habarileo02 Jan
Majambazi waua, wapora mil 44/-
WATU wasiofahamika wamevamia na kumuua mlinzi wa jadi katika ofisi ya Chama cha Msingi cha Chikundi Amcoss kilichopo katika kijiji cha Mtunungu, kata ya Mwena tarafa ya Chikundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara na kufanikiwa kuiba Sh milioni 44, mali ya chama hicho.