Majambazi Bunda yaua muuza vitumbua kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
WAKAZI wa mji wa Bunda mkoani Mara hivi sasa wanaishi maisha ya hofu baada ya kundi la majambazi kuvamia na kumuua muuza vitumbua.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:40 usiku na kusababisha taharuki kwa wananchi ambao walilazimika kukimbia kunusuru uhai wao.
Majambazi hayo yalivamia katika eneo jirani na Benki ya NMB Tawi la Bunda na kufyatua risasi ambayo ilimuua kijana huyo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, majambazi hayo pia yalivamia katika vibanda vya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Majambazi yajeruhi polisi wawili kwa risasi
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Majambazi yamuua Sista kwa risasi Dar
WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamemuua kwa kumpiga risasi mtawa wa Kanisa Katoliki, Sista Clezensia Kapuli ambaye ni mhasibu wa Shule ya Sekondari Mwenyeheri Anuwarite, iliyopo Ubungo Makoka jijini...
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Majambazi Moshi wamuua mshirika wao kwa risasi
11 years ago
CloudsFM02 Jul
MAJAMBAZI YANAYODAIWA KUMUUA SISTA KWA RISASI, UBUNGO YAKAMATWA
Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia Kapuli,
Zaidi ya watuhumiwa hao pia watu wengine sita wanashikiliwa wakihusishwa na matukio mbali mbali ya ujambazi nchini.
Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar esSalaam Kamishna Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari,aliwataja majambazi wanaohusishwa na mauaji ya Sista Kapuli kuwa ni Manase Ogenyeke “mjeshi” (35)...
10 years ago
VijimamboMAJAMBAZI WAKIZUNGU WAWILI KUTOKA ITALI WAKIONA CHA MOTO KWA KUPIGWA NA RISASI
SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.PICHA ZOTE KWA MSAADA WA http://jijiletublog.blogspot.com/WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIAGARI WALIYOTUMIA KUPORAPOLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA...
11 years ago
Michuzimajambazi yashambulia kwa risasi karandinga la magereza jijijni dar es salaam leo, shuhuda asimulia kilichotokea
9 years ago
Habarileo06 Dec
Maji yaua watoto 2 Bunda
MVUA zinazoendelea kunyesha wilayani Bunda, mkoani Mara zimesababisha kifo cha mtoto wa miaka sita, baada ya kusombwa na maji.
11 years ago
GPLMAJAMBAZI YAUA ARUSHA
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Majambazi wampiga risasi mfanyabiashara nyumbani