Maji yaua watoto 2 Bunda
MVUA zinazoendelea kunyesha wilayani Bunda, mkoani Mara zimesababisha kifo cha mtoto wa miaka sita, baada ya kusombwa na maji.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-YRUzuGeZk9g/VdTlI8djt9I/AAAAAAAHyVg/5DmJ5F1CP6o/s72-c/unnamed%2B%252831%2529.jpg)
Naibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Majambazi Bunda yaua muuza vitumbua kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
WAKAZI wa mji wa Bunda mkoani Mara hivi sasa wanaishi maisha ya hofu baada ya kundi la majambazi kuvamia na kumuua muuza vitumbua.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:40 usiku na kusababisha taharuki kwa wananchi ambao walilazimika kukimbia kunusuru uhai wao.
Majambazi hayo yalivamia katika eneo jirani na Benki ya NMB Tawi la Bunda na kufyatua risasi ambayo ilimuua kijana huyo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, majambazi hayo pia yalivamia katika vibanda vya...
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Pinda aweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mbunge wa Mwibara, Kange Lugora. Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasirra. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika katika...
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Watoto 35,000 kupewa chanjo Bunda
ZAIDI ya watoto 35,000 watapatiwa chanjo ya surua na kifua kikuu katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, katika zoezi lililoanza hivi karibuni baada ya kuzinduliwa katika Wiki ya Chanjo Duniani....
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA BUNDA
11 years ago
Habarileo15 Apr
Maji yaua watu watano Dar
WATU watano wamekufa katika matukio matano tofauti baada ya kusombwa na maji katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam. Katika tukio la kwanza lililotokea Chanika, mtoto wa kike aliyefahamika kwa jina la Lainant Ramadhani (2) alikufa baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji lililopo jirani na nyumba yao.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Futari yaua watoto watatu
WATOTO watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula futari inayosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Kwasunga, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi...
10 years ago
GPLMAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL
10 years ago
VijimamboDC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL.