Madereva wa bodaboda wazua kizaazaa Geita
Zaidi ya madereva wa bodaboda 10 wanashikiliwa na polisi mjini hapa wakidaiwa kuvunja na kuharibu mali za mkazi mmoja wa Msalala Road kwa madai kuwa anahusika na mauaji ya wenzao 30.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BxEg30z_u4Q/VXgTNufMEzI/AAAAAAAAEg8/NhPOw8KKuAE/s72-c/2.jpg)
MADEREVA WA BODABODA NA BAJAJI JIJINI MBEYA WAZUA TAFRAN MCHANA WA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-BxEg30z_u4Q/VXgTNufMEzI/AAAAAAAAEg8/NhPOw8KKuAE/s640/2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BYFBgNpMDMTEWWqgbUdUtGBtoTpwCxXjl9zb8L0R49o22Gh3nH7WxM3vBHnY84MoQ1l2fbpSRfyeW59-SsBIDYy5nh-eiB7k/JUMAMOSIBACK.jpg)
UNGO WA MCHAWI WAZUA KIZAAZAA!
Dustan Shekidele, Morogoro
NI mshangao! Katika hali isiyotarajiwa, ungo wenye vifaa vya kichawi umekutwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro na kuzua kizaazaa kikubwa. Ungo wenye vifaa vya kichawi ukiwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro. Tukio hilo la aina yake lilijiri saa 12Â asubuhi, Jumatano...
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mahakamani
Washtakiwa 11 wa kesi ya mauaji ya  kukusudia ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi wamegoma kushuka kizimbani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakishinikiza kuelezwa jalada la kesi yao lipo wapi na imefikia katika hatua gani.
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Usafiri wa Reli ya Kati wazua kizaazaa Dar
Zaidi ya abiria 1,500 waliotarajia kusafiri na treni ya Reli ya Kati jana, walikwama jijini Dar es Salaam baada ya kufika na kutangaziwa kupitia vipaza sauti kuwa hakuna treni na kutakiwa kupanga foleni kwa ajili ya kurudishiwa nauli.
11 years ago
Mwananchi12 Feb
RC Geita aleta kizaazaa
Wamiliki wa Kampuni za Kusambaza Mbegu za Pamba na Dawa za kuua wadudu Kanda ya Ziwa, wamekamatwa na polisi ndani ya mkutano wa kawaida wa wadau wa bodi ya pamba, uliofanyika jana katika ukumbi wa halmashauri wilayani hapa mkoani Geita kwa tuhuma za kuhujumu zao hilo.
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Mtoto anayedaiwa kugeuka nyoka azua kizaazaa Geita
Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi minne amezua kizaazaa cha aina yake, baada ya kuwapo taarifa kwamba mara kadhaa umbo lake limekuwa likigeuka na kuwa nyoka na mwili wake ukiendelea kudhoofu kutokana na kukataa kunyonya maziwa ya mama yake.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-tkZn29GYSc0/VGiYVJ52nlI/AAAAAAAAT4M/3Kene5osCUc/s72-c/mtoto.jpg)
MTOTO ANAYEDAIWA KUGEUKA NYOKA AYEZUA KIZAAZAA HUKO GEITA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tkZn29GYSc0/VGiYVJ52nlI/AAAAAAAAT4M/3Kene5osCUc/s640/mtoto.jpg)
Mtoto huyo (jina lake tunalihifadhi kwa sasa), wiki iliyopita alivuta umati wa wakazi wa Kijiji cha Nkome mkoani Geita ambao walifurika ndani na nje ya Kanisa la AICT Nkome, lililopo kijiji hapo,...
10 years ago
Mwananchi21 Sep
RC awavaa madereva bodaboda
Madereva wa pikipiki katika Mkoa wa Ruvuma (yeboyebo) ambao watabainika kujihusisha na vitendo vya uhalifu watachukuliwa hatua za kufikishwa katika vyombo vya sheria.
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Madereva 15 wa bodaboda mbaroni
Morogoro. Polisi Mkoa wa Morogoro inawashikilia madereva 15 wa bodaboda kwa tuhuma za kufanya vurugu katika eneo la Fire zilizosababishwa na mmoja wao kumdhalilisha askari mmoja wa kike.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania