Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WA BODABODA NA BAJAJI JIJINI MBEYA WAZUA TAFRAN MCHANA WA LEO

 Madereva wa bajaji jijini Mbeya, Mapema wameandamana kuanzia eneo la Mafiati kuelekea Mwanjelwa huku wakichoma moto mataili ya gari kwenye baarabara kuu Tunduma katika makutano ya eneo hilo, kwa madai ya kwamba wanahitaji wapewe ruhusa ya kutembea na kuruhusiwa kupita barabara kuu na kupunguziwa mapato ya ushuru wa bajaji hizo, hali ya usalama ilitetereka kidogo mjini hapa, hadi pale  jeshi la polisi lilipofika  kutuliza gasia kwa kupiga mabomu ya machozi kukabili hali hiyo.picha zote...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Madereva wa bodaboda wazua kizaazaa Geita

Zaidi ya madereva wa bodaboda 10 wanashikiliwa na polisi mjini hapa wakidaiwa kuvunja na kuharibu mali za mkazi mmoja wa Msalala Road kwa madai kuwa anahusika na mauaji ya wenzao 30.

 

10 years ago

Michuzi

shangingi lapigwa kiberiti baada ya kugonga na kuuwa madereva watatu wa bodaboda jijini Dar es salaam leo

Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo huko Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo. Picha na GPL

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA WAENDESHA BODABODA JIJINI MBEYA LEO

1 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Inspekta Isack Lema Mlezi wa Bodaboda Mkoa wa Mbeya kwa upande wa jeshi la Polisi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Mtenda uliopo Soweto mjini Mbeya kwa ajili ya kuzungumza na waendesha Bodaboda wa mjini Mbeya, ambapo wamemweleza matatizo mbalimbali wanayokumbana nayo na jinsi wanavyoshirikiana na jeshi la polisi na polisi jamii katika kulinda usalama wa wananchi, wao wenyewe na mali kwa ujumla, Chanagamoto...

 

11 years ago

Michuzi

madereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo

Wakazi wa Jiji la Mbeya leo wamejikuta wakiwa katika mazingira magumu baada ya mgomo wa mabasi madogo wa kutopakia abiria kutoka stendi kuu jijini humo,wakitaka wabadilishiwe ruti au kuongezewa nauli kwa sababu ya ruti hiyo inawapa mzungunguko mkubwa sana kulinganisha na nauli wanayoichaji kwa abiria hao.hali hiyo imepelekea abiria mbali mbali wa jiji hilo kupanga kwenye pikup na kulipa nauli ile ile wanayolipa kwenye daladala kama ionekanavyo katika picha mbali mbali zilizopigwa na Mpiga...

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO JIJINI MBEYA LEO KUTOKANA NA MGOMO WA MADEREVA UNAOENDELEA NCHI NZIMA

Madereva wengi nchini wamefanya mgomo wa vyombo vya usafiri, tangu jana asubuhi mpaka leo ambapo bado haijajulikana hatma ya mgomo huo, wakazi wa jiji la mbeya wajikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na adha ya usafiri kutokana na vyombo hivyo kuweka mgomo, wasafiri wa mikoa na wilaya mbali mbali bado wapo katika hali ngumu sambamba na wanafunzi wasomao mbali kidogo na mji wa jiji la Mbeya.picha zote na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.Sehemu wa Madereva wa Mabasi jijini Mbeya...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA TULIA TRUST YAMWAGA BAJAJI 16 JIJINI MBEYA

TAASISI ya Tulia Trust imekiwezesha Chama cha Bajaji Jiji la Mbeya mkopo wa Bajaji mpya kumi na sita zenye thamani ya shilingi milioni mia moja ishirini ili ziweze kuwasaidia katika kujikimu kiuchumi.

Akikabidhi Bajaj hizo kwenye makao makuu ya ofisi hizo zilizopo Block T Kata ya Iyela Jijini Mbeya Meneja wa Tulia Trust Jacquline Boaz amesema lengo la Taasisi yake ni kuhakikisha vijana wanajiajiri pia kumiliki vyombo vyao badala ya kutegemea waajiri ambao hudai malipo yenye riba kubwa pindi...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF watoa zawadi kwa washindi wa ligi ya madereva wa Bodaboda wa Kipunguni jijini Dar

 Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma(kushoto) akikabidhi jezi kwa kapteni wa timu ya G Unity Fc kwa ajili ya mchezo wa fainali uliofanyika katika kiwanja cha Kipunguni B katika kata ya Kipunguni manispaa ya Ilala jijini Dar. Ambapo timu ya G Unity FC waliibuka washindi baada ya kuichapa timu ya Sukuma Land Fc bao 5 kwa 2.   Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma(kushoto) akikabidhi jezi kwa kapteni wa timu ya Sukuma Land FC wakati wa mchezo wa fainali wa...

 

10 years ago

GPL

PSPF WATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA LIGI YA MADEREVA WA BODABODA WA KIPUNGUNI JIJINI DAR‏

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma(kushoto) akikabidhi jezi kwa kapteni wa timu ya G Unity Fc kwa ajili ya mchezo wa fainali uliofanyika katika kiwanja cha Kipunguni B katika kata ya Kipunguni manispaa ya Ilala jijini Dar. Ambapo timu ya G Unity FC waliibuka washindi baada ya kuichapa timu ya Sukuma Land Fc bao 5 kwa 2. Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma (kushoto) akikabidhi jezi kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra: Bodaboda, bajaji marufuku ‘Simu 2000’

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imepiga marufuku bajaji na pikipiki (bodaboda) kuegeshwa na kufanya biashara katika kituo kipya cha daladala cha ‘Simu 2000’, kilichopo Ubungo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani