Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA AKUTANA NA WAENDESHA BODABODA JIJINI MBEYA LEO

1 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Inspekta Isack Lema Mlezi wa Bodaboda Mkoa wa Mbeya kwa upande wa jeshi la Polisi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Mtenda uliopo Soweto mjini Mbeya kwa ajili ya kuzungumza na waendesha Bodaboda wa mjini Mbeya, ambapo wamemweleza matatizo mbalimbali wanayokumbana nayo na jinsi wanavyoshirikiana na jeshi la polisi na polisi jamii katika kulinda usalama wa wananchi, wao wenyewe na mali kwa ujumla, Chanagamoto...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waendesha bodaboda Mbeya waonywa

WAENDESHA bodaboda jijini Mbeya wametakiwa kuitumia kazi hiyo kujiletea maendeleo badala ya kukubali kutumika na wanasiasa wachache kuvuruga amani iliyopo.

 

11 years ago

GPL

WAENDESHA BODABODA JIJI LA MBEYA WAPATA VIONGOZI WAPYA

Baadhi ya waendesha Bodaboda jiji la Mbeya wakiwa wamekusanyika kujiandaa kuchagua viongozi watakaowaongoza uchaguzi huo ulifanyika katika kiwanja cha Luanda Nzovwe jijini Mbeya.…

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WA BODABODA NA BAJAJI JIJINI MBEYA WAZUA TAFRAN MCHANA WA LEO

 Madereva wa bajaji jijini Mbeya, Mapema wameandamana kuanzia eneo la Mafiati kuelekea Mwanjelwa huku wakichoma moto mataili ya gari kwenye baarabara kuu Tunduma katika makutano ya eneo hilo, kwa madai ya kwamba wanahitaji wapewe ruhusa ya kutembea na kuruhusiwa kupita barabara kuu na kupunguziwa mapato ya ushuru wa bajaji hizo, hali ya usalama ilitetereka kidogo mjini hapa, hadi pale  jeshi la polisi lilipofika  kutuliza gasia kwa kupiga mabomu ya machozi kukabili hali hiyo.picha zote...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo yawawezesha waendesha BodaBoda Jijini Mwanza

mkurugenzi wa tigo (1)

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza juzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi na kulipia kupitia Tigo Pesa.

RTO (1)

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa Bodaboda na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Baadaye Waziri Mkuu huyo alifanya mazungumzo na Kinana kuhusu masuala mbalimbali hususan ya kisiasa.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha kwa ajili ya mazungumzo, Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,  Katibu Mkuu wa CCM,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri kwenye msafara wa waendesha Baiskeli kutoka Mbeya kwenda jijini Dar

Rais wa Chama cha Waendesha Baiskeli Tanzania, Godfrey Jacks Muhagama, ambaye pia ni miongoni mwa waendesha baiskeli kwenye msafara huo ulioanzia Mbeya akitoa maelezo ya namna shughuli hiyo ilivyofanikiwa.

Mwakilishi wa Norwegian Church Aid nchini Tanzania, Tale Hungnes akiwapongeza waendesha baiskeli mara baada ya kufika Dar es Salaam wakitokea kwenye mpaka wa Malawi na Tanzania, Kasumulo Mbeya.

 

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr. Rashid Rutengwe akisaini madai ya haki ili kuweka imani...

 

10 years ago

Michuzi

YALIYOJIRI KWENYE MSAFARA WA WAENDESHA BAISKELI KUTOKA MBEYA KWENDA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Chama cha Waendesha Baiskeli Tanzania, Godfrey Jacks Muhagama, ambaye pia ni miongoni mwa waendesha baiskeli kwenye msafara huo ulioanzia Mbeya akitoa maelezo ya namna shughuli hiyo ilivyofanikiwa.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr. Rashid Rutengwe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waendesha baiskeli na viongozi wa msafara huo.Msafara wa waendesha baiskeli ukiingia kwenye mji wa Ilula Mkoani IringaEsther Joshua ambaye ni mwanamke pekee kwenye msafara wa kuendesha baiskeli kutoka...

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA WAENDESHA DALADALA JIJINI MWANZA LEO

Daladala zikiwa zimepaki katika Jiji la Mwanza kutokana na mgomo wa madereva. Taswira kutoka maeneo ya Jiji la Mwanza baada ya mgomo wa waendesha daladala.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani