Wanajeshi waliowaua raia harusini mashakani
Kiongozi mkuu wa jeshi la muungano wa Afrika linalohudumu nchini Somalia, anasema kuwa wanajeshi watatu wa kikosi hicho wameshtakiwa kuhusiana na mauaji ya mwezi uliopita ya kundi moja la raia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Wanajeshi mahakamani kwa mauaji ya raia Mbeya
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya corona: Wanajeshi wa Rwanda wadaiwa kuwabaka raia wakati wa amri ya kutotoka nje
10 years ago
GPLJESHI LA POLISI LAENDESHA MSAKO MKALI KWA WALIOWAUA ASKARI WAWILI
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Watu 20 wafariki harusini Afghanistan
10 years ago
Bongo Movies08 Mar
Vijimambo :Naelekea Harusini-Ray
Baada ya kuonekana kukataa kuweka dau mezani, Staa wa Bongo Movies ‘Ray’ ambae ni shabiki mkubwa wa Yanga ameshare nasi picha akiwa anaelekea kiwanjani kushuhudia mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga inayopigwa leo uwanja wataifa.
“Nimeshajiandaa tayari sasa naelekea harusini.....nasikia biharusi kapendeza sana”-aliandika na kumtagi JB
Baadhi ya watu wanamuliza bila majibu kama ameweka mazigo au la? Au hana uhakika na timu yake?
Siku ya jana JB ambae ni mshabiki wa Simba,...
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Amisom waliwaua 6 harusini Somalia
9 years ago
Mtanzania10 Sep
89 hoi kwa kunywa juisi harusini
Na Editha Karlo, Kigoma
WAKAZI 89 wa Kijiji cha Rugunga, Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, baada ya kunywa juisi ya kienyeji inayosadikiwa kuwa na sumu wakati wa sherehe ya harusi.
Tukio hilo limetokea Septemba 6, mwaka huu, baada ya watu hao kunywa juisi na kula chakula kilichoandaliwa katika sherehe hiyo.
Baada ya muda mfupi, waalikwa hao walianza kuumwa matumbo na kuharisha mfululizo hali iliyofanya kukimbizwa hospitali kwa ajili ya...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwanaharusi apigwa na kutimuliwa harusini Karachi
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Wanamuziki, ma-DJ mkialikwa harusini vaeni vizuri
MUZIKI una sehemu kubwa katika maisha ya kila siku ya binadamu. Wapo wanaoutumia muziki kama ajira yao kuu inayowawezesha kupata kipato cha kuendesha maisha yao ya kila siku, wapo wanaoutumia...