Vijimambo :Naelekea Harusini-Ray
Baada ya kuonekana kukataa kuweka dau mezani, Staa wa Bongo Movies ‘Ray’ ambae ni shabiki mkubwa wa Yanga ameshare nasi picha akiwa anaelekea kiwanjani kushuhudia mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga inayopigwa leo uwanja wataifa.
“Nimeshajiandaa tayari sasa naelekea harusini.....nasikia biharusi kapendeza sana”-aliandika na kumtagi JB
Baadhi ya watu wanamuliza bila majibu kama ameweka mazigo au la? Au hana uhakika na timu yake?
Siku ya jana JB ambae ni mshabiki wa Simba,...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 Mar
Vijimambo: Namtafuta Ndugu Yangu, Alisema Anakwenda Harusini-JB
Kufuatia kichapo cha timu ya Yanga hapo jana, JB ameandika bandiko hili akimtafuta ndugu yake anaeonekana kwenye picha hapo juu.
“Amepotea:jamani namtafuta ndugu yangu pichani hapo juu.mara ya mwisho tulikwenda nae mpirani hakurudi kwenye gari na simu haipatikani.nyumbani pia hayuko.alisema anakwenda harusini,atakaye muona anijulishe au apige simu polisi”
Jamani mweye taarifa amsaidie JB.
Mzee wa Ubuyu
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Vijimambo: Ray Weka Milioni Moja, Mimi Naweka Mbili-JB
Kuelekea mpambano wa watani wa jadi katika mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini, mchezo kati ya Simba na Yanga ambao utafanyika hapo kesho kwenye uwanja wa taifa jiji Dar, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambae ni mshabiki “kindakindaki” wa timu ya Simba amemtaka Staa mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’ ambae ni shabiki wa Yanga, aweke dau shilingi milioni moja kama alivyofanya mchezo uliopita na yeye JB ataweka milioni mbili, kama Yanga ikishinda Ray atachukua mzigo na kama Simba...
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...
11 years ago
GPL
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Amisom waliwaua 6 harusini Somalia
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Watu 20 wafariki harusini Afghanistan
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Sura ya mke yamtisha mumewe harusini
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwanaharusi apigwa na kutimuliwa harusini Karachi
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Wanajeshi waliowaua raia harusini mashakani