Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijimambo: Namtafuta Ndugu Yangu, Alisema Anakwenda Harusini-JB

Kufuatia kichapo cha timu ya Yanga hapo jana, JB ameandika bandiko hili akimtafuta ndugu yake anaeonekana kwenye picha hapo juu.

“Amepotea:jamani namtafuta ndugu yangu pichani hapo juu.mara ya mwisho tulikwenda nae mpirani hakurudi kwenye gari na simu haipatikani.nyumbani pia hayuko.alisema anakwenda harusini,atakaye muona anijulishe au apige simu polisi”

Jamani mweye taarifa amsaidie JB.

Mzee wa Ubuyu

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Vijimambo :Naelekea Harusini-Ray

Baada  ya kuonekana  kukataa kuweka dau mezani,  Staa wa Bongo Movies ‘Ray’ ambae ni shabiki mkubwa wa Yanga ameshare nasi picha akiwa anaelekea kiwanjani kushuhudia mechi ya watani wa jadi,  Simba na Yanga  inayopigwa leo uwanja wataifa.  

“Nimeshajiandaa tayari sasa naelekea harusini.....nasikia biharusi kapendeza sana”-aliandika na kumtagi JB

Baadhi ya watu wanamuliza  bila majibu kama ameweka mazigo au la?  Au hana uhakika na timu yake?

Siku ya jana  JB  ambae ni mshabiki wa Simba,...

 

9 years ago

GPL

KUMBE RAIS MTARAJIWA NDUGU YANGU KABISA

Yaani mimi mwenyewe bado sijaamini. Babu yangu ndiyo kaniita jana akaniambia hii siri kubwa ya kifamilia ambayo sasa ningependa kuwahusisha. Mara alipotangazwa mshindi wa mbio za urais babu yangu akaniita chumbani kwake, akaniambia, ‘Mjukuu wangu kuna siri nataka kukwambia. Sijui unajua kuwa baba yangu aliwahi kuishi Chato?’ Nikamjibu babu kuwa sikujua hilo. Basi babu ndiyo akaanza kunihadithia siri kubwa sana. Kumbe baba...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajinyonga baada ya kuaga anakwenda Marekani

>Mkazi wa Kisukuru jijini Dar es Salaam, Irene Ibrahim anadaiwa kujinyonga hadi kufa, ikiwa saa chache kupita  tangu aage kuwa anasafiri kwenda Marekani.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara:Marehemu Sajuki Alisema Atatakufa Mwaka Mpya

"Hii siku ya tal 31 mpka tal 2 January ni siku mbaya sana kwangu unifanya nilie kuliko siku zote uumwa sababu ya mawazo niliambiwa neno ambalo sikuwa tayari kulipokea, marehemu sajuki alisema.nitakufa huku watu bado wanasheherekea mwaka mpya nami nitakufa mwaka mpya alianza kuhesabu saa yake kufa tal 31 na kweli ilipofika tal 1 aliniomba nimtoroshe hosptal nimpelke beach akashike maji ya bahari kwa ya mwisho, ni rahisi sana wew kusoma haya maneno lakini ni maneno mazito na yenye kuchoma moyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Nani Alisema Wazazi Hawana Mvuto?-Kajala

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies anaesifika kuwa figa matata ya kiafrika, Kajala Masanja ‘Kay’ amebandika picha akiwa katika pozi matata (Hiyo hapo juu) na kuachia swali  ambalo bila shaka jibu lake lipo wazi wazi.

Kajala ambae ni mama wa mtoto mmoja ameuliza “Who said moms can't be SEXY???...”

Bila shaka wewe mwenyewe umejionea hapo juu,  hebu mpe majibu.

 

10 years ago

GPL

OMOTOLA: MUME WANGU ANAKWENDA SOKONI, MIMI NAPIKA

Staa wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade. Lagos, Nigeria
STAA wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade, ameamua kufunguka juu ya maisha anayoishi na mume wake, Matthew Ekeinde.Omotola ambaye hivi karibuni alifanya mkutano na vijana mbalimbali wenye ndoto za kucheza filamu, aliwaeleza juu ya maisha anayoishi na mumewe kuwa, yeye kazi yake kubwa ni kupika tu. Omotola akiwa na mumewe.
“Mimi kazi yangu kubwa katika maisha...

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. Anamatatizo la kupoteleza Kumbukumbu.Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda, 0682 822 111/ 0754 631 888.Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kwa URP/RB/2331/2015.

 

9 years ago

BBCSwahili

Amisom waliwaua 6 harusini Somalia

Human Rights Watch,linasema kuwa wanajeshi wa Uganda walivamia kijiji kimoja ambako kulikuwa na umatu harusini na kuwaua watu 6.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani