Wastara:Marehemu Sajuki Alisema Atatakufa Mwaka Mpya
"Hii siku ya tal 31 mpka tal 2 January ni siku mbaya sana kwangu unifanya nilie kuliko siku zote uumwa sababu ya mawazo niliambiwa neno ambalo sikuwa tayari kulipokea, marehemu sajuki alisema.nitakufa huku watu bado wanasheherekea mwaka mpya nami nitakufa mwaka mpya alianza kuhesabu saa yake kufa tal 31 na kweli ilipofika tal 1 aliniomba nimtoroshe hosptal nimpelke beach akashike maji ya bahari kwa ya mwisho, ni rahisi sana wew kusoma haya maneno lakini ni maneno mazito na yenye kuchoma moyo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 May
Wastara Amuanika Mbaya Wake, Kisa ni Kuolewa na Marehemu Sajuki
Baada ya kipindi kirefu cha tetesi ya staa wa filamu Wastara kuhofia maisha yake, akihisi upo mpango wa kumuangamiza kwa njia mbalimbali ikiwepo ajali, staa huyo amesema tetesi hizo ni kweli na amekwishazitolea ripoti polisi.
Msanii huyo amekiri kupitia eNewz kuwa, ni kweli yupo katika tishio la maisha yake, mhusika mkubwa wa hilo akiwa mwanaume ambaye alikuwa na mahusiano yake wa zamani ambaye hawana maelewano mazuri naye.Wastara amesema kuwa, amekuwa na historia ya mahusiano mabovu na mtu...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Wastara amkumbuka Sajuki
MSANII nyota wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema anakutana na changamoto nyingi katika kuandaa filamu zake tangu alipofiwa na mume wake mpendwa, Sajuki Juma aliyekuwa msaada mkubwa kwake. Sajuki alifariki...
10 years ago
GPLWASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI
10 years ago
GPLWASTARA ASOMA DUA KUMUENZI SAJUKI
9 years ago
GPLWASTARA: PENZI TAMU NILILIPATA KWA SAJUKI TU!
10 years ago
Bongo529 Dec
Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
11 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA SAJUKI... BONGO MOVIE WAMFANYIA MBAYA WASTARA
10 years ago
GPLWASTARA ALIA MASTAA KUSUSIA KISOMO CHA SAJUKI
10 years ago
Bongo Movies06 Jan
Wastara Azungumzia Mastaa Kususia Kisomo Cha Sajuki
Mwigizaji wa filamu Bongo, Wastara Juma amelizungumzia swala la mastaa wengi wa filamu kuto udhuria kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’.
Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar. Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka kwenye tasnia ya filamu ambapo yeye Wastara hadi sasa yupo na hata marehemu mmewe...