Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastara Azungumzia Mastaa Kususia Kisomo Cha Sajuki

Mwigizaji wa filamu Bongo, Wastara Juma amelizungumzia swala la mastaa wengi wa filamu kuto udhuria kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’.

Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar. Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka kwenye tasnia ya filamu ambapo yeye Wastara hadi sasa yupo na hata marehemu mmewe...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA ALIA MASTAA KUSUSIA KISOMO CHA SAJUKI

Diva wa filamu Bongo, Wastara Juma. DIVA wa filamu Bongo, Wastara Juma amelia na mastaa wenzake wa filamu kususia kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Msanii huyo mwishoni mwa wiki iliyopita aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wastara amkumbuka Sajuki

MSANII nyota wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema anakutana na changamoto nyingi katika kuandaa filamu zake tangu alipofiwa na mume wake mpendwa, Sajuki Juma aliyekuwa msaada mkubwa kwake. Sajuki alifariki...

 

10 years ago

GPL

WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI

Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma. Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma, ametamka hadharani kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na msanii yeyote ndani ya Kundi la Bongo Movie. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Wastara alisema kuna maneno mengi yanasemwa kuwa ana uhusiano na mtu ndani ya kundi hilo kitu ambacho si sahihi, atamuanika mrithi wa marehemu Sajuki siku si nyingi. “Unajua muda...

 

10 years ago

GPL

WASTARA ASOMA DUA KUMUENZI SAJUKI

Msanii Wastara akiwa kainama kwenye kaburi la marehemu mumewe sajuki…

 

10 years ago

Bongo5

Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu

Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika. Sajuki alifariki January 2, 2013. “02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko (sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi tele moyoni mwetu,” ameandika Wastara kwenye Facebook. “Ni ukweli usipoingika ameondoka na nusu ya akili yangu maana sifanyi chochote bila kumfikilia yeye […]

 

9 years ago

GPL

WASTARA: PENZI TAMU NILILIPATA KWA SAJUKI TU!

Imelda Mtema NASEMA ukweli kabisa! Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma ameweka wazi kuwa, tangu azaliwe, penzi pekee alilowahi kulifurahia ni la aliyekuwa mumewe na msanii mwenzake, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma. Akichonga na Amani juzi, Wastara alifunguka kuwa, Sajuki ndiye mtu pekee aliyekuwa akimwelewa na kumpa mapenzi ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara: Yusuph Mlela Anafanana Vitu Vingi na Sajuki

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunguka na kumwagia sifa muigizaji mwenzake, Yusuph Mlela kuwa ni mtu ambaye anafanana vitu vingi na aliyekuwa mume wake, marehemu Sajuki  na kusisitiza kuwa huwa hachoki kufanya naye kazi.

Kupitia ukurasa wakekwenye mtandao wa instagram, Wastara aliweka picah hiyo hapo juu na kuandika;

“Mama na mwana mama na baba nimeipenda kma ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu mpole ajui...

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA SAJUKI... BONGO MOVIE WAMFANYIA MBAYA WASTARA

Stori: Brighton Masalu na Deogratius Mongela
DUA maalum ya kumbukumbu na kumuombea aliyekuwa msanii wa filamu Bongo, Marehemu Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ imezua minong’ono mingi kufuatia wasanii wengi wanaounda Kundi la Bongo Movie kudaiwa kumfanyia mbaya mkewe, Wastara Juma kwa kutohudhuria, Ijumaa Wikienda lilikuwepo. Dua hiyo ya ilifanyika Jumamosi iliyopita nyumbani kwa marehemu Tabata-Bima, Dar na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara:Marehemu Sajuki Alisema Atatakufa Mwaka Mpya

"Hii siku ya tal 31 mpka tal 2 January ni siku mbaya sana kwangu unifanya nilie kuliko siku zote uumwa sababu ya mawazo niliambiwa neno ambalo sikuwa tayari kulipokea, marehemu sajuki alisema.nitakufa huku watu bado wanasheherekea mwaka mpya nami nitakufa mwaka mpya alianza kuhesabu saa yake kufa tal 31 na kweli ilipofika tal 1 aliniomba nimtoroshe hosptal nimpelke beach akashike maji ya bahari kwa ya mwisho, ni rahisi sana wew kusoma haya maneno lakini ni maneno mazito na yenye kuchoma moyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani