WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI
![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLZ-J92LkRC3s90TMJxTat4OYN5N-ichXufJPJp7-FGr94rmTrxaQMOIsxd*ZTUQbgJzlf8bPCGjAr0ToFSXHauh/wastara.jpg?width=650)
Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma. Stori: Imelda Mtema STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma, ametamka hadharani kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na msanii yeyote ndani ya Kundi la Bongo Movie. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Wastara alisema kuna maneno mengi yanasemwa kuwa ana uhusiano na mtu ndani ya kundi hilo kitu ambacho si sahihi, atamuanika mrithi wa marehemu Sajuki siku si nyingi. “Unajua muda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Wastara amkumbuka Sajuki
MSANII nyota wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema anakutana na changamoto nyingi katika kuandaa filamu zake tangu alipofiwa na mume wake mpendwa, Sajuki Juma aliyekuwa msaada mkubwa kwake. Sajuki alifariki...
10 years ago
GPLWASTARA ASOMA DUA KUMUENZI SAJUKI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uqLqBDFuIfAEj-7GQXDWs9G0afEEkSYHGxvJhNL6o8TZHLGD5yU*EY8QRRiXo-pojRyMm4s0XkLsNfOvQaAq-pQ1OY5MhwDf/WASTARA.jpg?width=650)
WASTARA: PENZI TAMU NILILIPATA KWA SAJUKI TU!
10 years ago
Bongo529 Dec
Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Wastara:Marehemu Sajuki Alisema Atatakufa Mwaka Mpya
"Hii siku ya tal 31 mpka tal 2 January ni siku mbaya sana kwangu unifanya nilie kuliko siku zote uumwa sababu ya mawazo niliambiwa neno ambalo sikuwa tayari kulipokea, marehemu sajuki alisema.nitakufa huku watu bado wanasheherekea mwaka mpya nami nitakufa mwaka mpya alianza kuhesabu saa yake kufa tal 31 na kweli ilipofika tal 1 aliniomba nimtoroshe hosptal nimpelke beach akashike maji ya bahari kwa ya mwisho, ni rahisi sana wew kusoma haya maneno lakini ni maneno mazito na yenye kuchoma moyo...
10 years ago
Bongo Movies06 Jan
Wastara Azungumzia Mastaa Kususia Kisomo Cha Sajuki
Mwigizaji wa filamu Bongo, Wastara Juma amelizungumzia swala la mastaa wengi wa filamu kuto udhuria kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’.
Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar. Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka kwenye tasnia ya filamu ambapo yeye Wastara hadi sasa yupo na hata marehemu mmewe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kBk*s0lw*NkXh1cvm97VDUcsNXb0dmDjuUEbjR0zbvbyax6IWATp0OqV4*RUkAPQ3UvjvoMPXeVrWnaxTm-bzwRCdSKJnBGY/wastara.jpg?width=650)
WASTARA ALIA MASTAA KUSUSIA KISOMO CHA SAJUKI
10 years ago
Bongo Movies02 Aug
Wastara: Yusuph Mlela Anafanana Vitu Vingi na Sajuki
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunguka na kumwagia sifa muigizaji mwenzake, Yusuph Mlela kuwa ni mtu ambaye anafanana vitu vingi na aliyekuwa mume wake, marehemu Sajuki na kusisitiza kuwa huwa hachoki kufanya naye kazi.
Kupitia ukurasa wakekwenye mtandao wa instagram, Wastara aliweka picah hiyo hapo juu na kuandika;
“Mama na mwana mama na baba nimeipenda kma ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu mpole ajui...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox5JsEM9JmnVmV2Qs43oCK0hbRvy7iFuW*f7A-q7dQkGfBUZBSyKA1S*BDOv15QKhaReSoi7a92nECO7Ii1Omm-W/sajuki.jpg?width=650)
KUMBUKUMBU YA SAJUKI... BONGO MOVIE WAMFANYIA MBAYA WASTARA