KUMBUKUMBU YA SAJUKI... BONGO MOVIE WAMFANYIA MBAYA WASTARA
![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox5JsEM9JmnVmV2Qs43oCK0hbRvy7iFuW*f7A-q7dQkGfBUZBSyKA1S*BDOv15QKhaReSoi7a92nECO7Ii1Omm-W/sajuki.jpg?width=650)
Stori: Brighton Masalu na Deogratius Mongela DUA maalum ya kumbukumbu na kumuombea aliyekuwa msanii wa filamu Bongo, Marehemu Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ imezua minong’ono mingi kufuatia wasanii wengi wanaounda Kundi la Bongo Movie kudaiwa kumfanyia mbaya mkewe, Wastara Juma kwa kutohudhuria, Ijumaa Wikienda lilikuwepo. Dua hiyo ya ilifanyika Jumamosi iliyopita nyumbani kwa marehemu Tabata-Bima, Dar na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 May
Wastara Amuanika Mbaya Wake, Kisa ni Kuolewa na Marehemu Sajuki
Baada ya kipindi kirefu cha tetesi ya staa wa filamu Wastara kuhofia maisha yake, akihisi upo mpango wa kumuangamiza kwa njia mbalimbali ikiwepo ajali, staa huyo amesema tetesi hizo ni kweli na amekwishazitolea ripoti polisi.
Msanii huyo amekiri kupitia eNewz kuwa, ni kweli yupo katika tishio la maisha yake, mhusika mkubwa wa hilo akiwa mwanaume ambaye alikuwa na mahusiano yake wa zamani ambaye hawana maelewano mazuri naye.Wastara amesema kuwa, amekuwa na historia ya mahusiano mabovu na mtu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0k2wlsSz7*EKpBYt7V1aAgrKspl9h3u*1Ai6OuAUwgn8AvueG1Epwj7j7GTw91m*gVTQ*K8ZfYC2xXHWKzW1lko/auntylulu.jpg)
KIBAKA WAMFANYIA KITU MBAYA AUNTY LULU
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Wastara amkumbuka Sajuki
MSANII nyota wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema anakutana na changamoto nyingi katika kuandaa filamu zake tangu alipofiwa na mume wake mpendwa, Sajuki Juma aliyekuwa msaada mkubwa kwake. Sajuki alifariki...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLZ-J92LkRC3s90TMJxTat4OYN5N-ichXufJPJp7-FGr94rmTrxaQMOIsxd*ZTUQbgJzlf8bPCGjAr0ToFSXHauh/wastara.jpg?width=650)
WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI
10 years ago
GPLWASTARA ASOMA DUA KUMUENZI SAJUKI
10 years ago
Bongo529 Dec
Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uqLqBDFuIfAEj-7GQXDWs9G0afEEkSYHGxvJhNL6o8TZHLGD5yU*EY8QRRiXo-pojRyMm4s0XkLsNfOvQaAq-pQ1OY5MhwDf/WASTARA.jpg?width=650)
WASTARA: PENZI TAMU NILILIPATA KWA SAJUKI TU!
10 years ago
Bongo Movies06 Jan
Wastara Azungumzia Mastaa Kususia Kisomo Cha Sajuki
Mwigizaji wa filamu Bongo, Wastara Juma amelizungumzia swala la mastaa wengi wa filamu kuto udhuria kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’.
Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar. Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka kwenye tasnia ya filamu ambapo yeye Wastara hadi sasa yupo na hata marehemu mmewe...