Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika. Sajuki alifariki January 2, 2013. “02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko (sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi tele moyoni mwetu,” ameandika Wastara kwenye Facebook. “Ni ukweli usipoingika ameondoka na nusu ya akili yangu maana sifanyi chochote bila kumfikilia yeye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Kimlola:Kanumba Aliondoka na Nyota Yangu, Maombi Yameniokoa!
Mwigizaji wa filamu,Emmanuel Kimlola ‘Kimlola Kimlola’ ametamba kwa kusema kuwa maombi ya kazi zake katika uigizaji yamejibu kwani toka aokoke kila kitu akifanya kazi inajibu tofauti na siku zilizopita ilikuwa ngumu hata kupata kazi ya filamu na kushiriki hata sehemu ndogo, pengine watu walimsahau baada ya kifo cha Kanumba.
“Nilipatwa na hofu nikitaka kuamini kuwa labda swahiba yangu Marehemu Kanumba kaondoka na nyota yangu na hilo lilitokana na ukaribu na marehemu kwani ilikuwa kila akitoa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Wastara amkumbuka Sajuki
MSANII nyota wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema anakutana na changamoto nyingi katika kuandaa filamu zake tangu alipofiwa na mume wake mpendwa, Sajuki Juma aliyekuwa msaada mkubwa kwake. Sajuki alifariki...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLZ-J92LkRC3s90TMJxTat4OYN5N-ichXufJPJp7-FGr94rmTrxaQMOIsxd*ZTUQbgJzlf8bPCGjAr0ToFSXHauh/wastara.jpg?width=650)
WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI
10 years ago
GPLWASTARA ASOMA DUA KUMUENZI SAJUKI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uqLqBDFuIfAEj-7GQXDWs9G0afEEkSYHGxvJhNL6o8TZHLGD5yU*EY8QRRiXo-pojRyMm4s0XkLsNfOvQaAq-pQ1OY5MhwDf/WASTARA.jpg?width=650)
WASTARA: PENZI TAMU NILILIPATA KWA SAJUKI TU!
10 years ago
Bongo Movies02 Aug
Wastara: Yusuph Mlela Anafanana Vitu Vingi na Sajuki
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunguka na kumwagia sifa muigizaji mwenzake, Yusuph Mlela kuwa ni mtu ambaye anafanana vitu vingi na aliyekuwa mume wake, marehemu Sajuki na kusisitiza kuwa huwa hachoki kufanya naye kazi.
Kupitia ukurasa wakekwenye mtandao wa instagram, Wastara aliweka picah hiyo hapo juu na kuandika;
“Mama na mwana mama na baba nimeipenda kma ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu mpole ajui...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox5JsEM9JmnVmV2Qs43oCK0hbRvy7iFuW*f7A-q7dQkGfBUZBSyKA1S*BDOv15QKhaReSoi7a92nECO7Ii1Omm-W/sajuki.jpg?width=650)
KUMBUKUMBU YA SAJUKI... BONGO MOVIE WAMFANYIA MBAYA WASTARA
10 years ago
Bongo Movies06 Jan
Wastara Azungumzia Mastaa Kususia Kisomo Cha Sajuki
Mwigizaji wa filamu Bongo, Wastara Juma amelizungumzia swala la mastaa wengi wa filamu kuto udhuria kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’.
Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar. Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka kwenye tasnia ya filamu ambapo yeye Wastara hadi sasa yupo na hata marehemu mmewe...
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Wastara:Sura ya Sajuki Haijanitoka,Nikifikilia Machozi Yananitoka
Mwigizaji wa filamu, Wastara Juma leo hii aliweka picha hio hapo juu akiwa na marehemu mume wake (Sajuki) na kuandika maneno haya.
“Mbali nami mpenzi umekwenda moyo wangu jeraha umeweka,sura yako haijanitoka nikifikilia machozi yanitoka,baby wangu rudi”.
Wastara aliendelea kusema.
"Ijumaa ya 02.01.2015 kutakuwa na kudhuru kaburi la marehemu mume wangu Juma Kilowoko (sajuki) kwenye hapo kutakuwa na kisomo na chakula cha mchana kipenzi changu,kipenzi chenu,kipenzi cha watanzania wapenda...