Picha: Nani Alisema Wazazi Hawana Mvuto?-Kajala
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies anaesifika kuwa figa matata ya kiafrika, Kajala Masanja ‘Kay’ amebandika picha akiwa katika pozi matata (Hiyo hapo juu) na kuachia swali ambalo bila shaka jibu lake lipo wazi wazi.
Kajala ambae ni mama wa mtoto mmoja ameuliza “Who said moms can't be SEXY???...”
Bila shaka wewe mwenyewe umejionea hapo juu, hebu mpe majibu.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxwyKs5VX3Fvho9tP36qFMYmMdzb9zq5tp34koUm7qny26gm7THkNA0hccdaYp1uCQiWsE2kfkpx1AXx1ntKFWqe/1copy.jpg?width=650)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39feCmbY*9EZsmrT*RVnSvVV7k15DC3vD07*7aeU-6vAd01mF95o2tEQAVjQ-3PNikjYqmT7MWIKwz25jo8fakiG/WAREMBOAMNA.jpg?width=650)
NANI MBUNGE MREMBO MWENYE MVUTO 2014?
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Eti Chuchu Hancy Wa Ray Hutupia Picha Za Mvuto Zaidi Mitandaoni!!!
Mitandao ya kijamii imekua ni sehemu muhimu sana kwa watu mashuhuri na hasa kwenye upande wa burudani ,kuwafikia mashabiki na wapenzi wao kwa wingi zaidi ambao kwakiasi kikubwa ndio wanaowafanya wang’are . Kama ilivyo kwa kila mtu huko mitandaoni, mastaa anao wana uhuru wakuweka kile anachoona kinafaa kwake na kwa mashabiki wake.
Vile vile mashabiki wao wanaweza kuwa na maoni au mawazo mbalimbali juu ya mastaa wao. Leo tumekutana na shabiki na mpenzi wa filamu za hapa TZ na vilevile ni...
10 years ago
Bongo Movies08 Jun
Picha: Kajala Akipata Matibabu Hospitali
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, muongozaji wa filamu maarufu Lamata ambaye ni rafiki wa karibu wa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameweka picha hii ya ikimuonyesha Kajala akiwa hospital amelala kwenye kitanda maalumu tayari kuingizwa kwenye kifaa cha kitabibu zaidi.
Kwenye picha hiyo Lamata alimpa pole Kakala na kumpa matumaini kwa kuandika;
‘Pole @new_kajala utapona mungu yupo nawe siku zote za maisha yako’
Bongomovies.com haijathibitisha kama ni kweli au ni maigizo.
Kama ni...
9 years ago
Bongo Movies16 Dec
Picha: Kajala Akijiachia na Dada Yake Diamond!
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara na dada wa Diamond, Queen Darleen, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Kajala na Queen Darleen wamekuwa ‘beneti’ kila kona ambapo pia kuna fununu kuwa hata familia ya Diamond imebariki uhusiano wake na Mbongo Fleva huyo na wanampa ushirikiano wa...
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
JE Kajala Ame-Break The Internet Kwa Picha Hizi?!!!
Leo ikiwa ni siku ya mapumziko, tusherekea miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika ambayo iliungana na Zanzibar na sasa inaitwa Tanzania, akionekana mwenye furaha kwa tabasamu na pozi mbalimbali maeneo ya ufukweni , Kajala Masanja ambae ni muigizaji na mkurugenzi wa K entertainments, aliziweka picha zake hizi mtandaoni na kuandika “Wee unaniona hapa me najiona mbaaaaali” akiashilia kuwa mwenye furaha na amani tele.
Kilichofanya nizilete hapa ni likes na comments za ‘Followers’ wake ambao kwa kwa...
11 years ago
Bongo Movies22 Jul
PICHA: Lunch party ya birthday ya kajala ilivyokuwa leo mchana
Tazama picha za lunch ya mwanadada Kajala ilivyokuwa leo kwenye birthday yake.
10 years ago
Bongo525 Sep
Picha: Filamu ya ‘Mbwa Mwitu’ ya Kajala yazinduliwa Mlimani City
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Kajala Awatolea Uvivu Waliozikosoa Picha Zake, Eti Hazina Maadili
Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu baadhi ya mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshabulia kwa –comments kuwa picha hizi alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwasababu amevaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Baada ya mjadala wa picha zake kupamba moto huku wengine wakiona zipo sawa na wachache wakisema kuwa hazina maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga wakati akiwa...