Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: Lunch party ya birthday ya kajala ilivyokuwa leo mchana

Tazama picha za lunch ya mwanadada Kajala ilivyokuwa leo kwenye birthday yake.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HALI ILIVYOKUWA BAADA YA MVUA YA LEO MCHANA


Mchana wa leo imeshesha mvua kubwa kiasi na kupelekea maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kuwa kama ionekanavyo pichani.



BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Birthday Party ya Wema Sepetu Jana Usiku

Usiku wa jana, Novemba 1 staa wa Bongo Movies , Wema sepetu aliangusha pomba la pati ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo mastaa wengi wa hapa bongo walikuwepo akiwepo na mpenzi wake Luis pamoja na mama yake mzazi.

Pia Wema Sepetu alionyesha gari lake  jipya alilonunua aina ya Range Rover na kulitambulisha mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.

Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Birthday Party ya Butuli Iliyofanyika Hoteli ya Kempisk Hapo Jana

Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na mwigizaji wa filamu Yobnesh Yussuph ‘Butuli’ aliposherekea siku yake ya kuzaliwa katika hoteli ya Hyatt Regency Kempisk hapo jana.

Sherehe hiyo ilihudhuliwa na baadhi ya watu wake wa karibu wakiwemo waigizaji wenzake, mbali na kufanya sherehe hiyo  mapema siku ya jana Butuli aliwatembea watoto wanaoisha kwenye mazingira magumu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha ya Aunty na Kajala Kwenye ‘Baby Shower Party’ Yazua Minong’ono Mtandaoni

Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na pale miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu.

Aunt Ezekiel na Wema Sepetu  nimarafiki wa karibu sana japokuwa hivi juzi kati kuliripotiwa  na vyombo mablimbali vya ukudaku kuwa...

 

11 years ago

Bongo Movies

Hizi ndio salamu za birthday alizopata mwanadada kajala leo toka kwa mastaa mbalimbali

Leo hii mwanadada Kajala Masanja anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kama ilivyo ada mastaa na watu mbalimbali wamepa salam za pongezi mwanadada huyo mrembo wa bongomovies. Hizi ni baadhi tu ya salamu chache tulizoweza kuzipata.

 

BATULI: Happy birthday bint wa Masanja, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye afya njema, Born day yako imeangukia kwenye kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhan, Ingawa ww c muislam ila support kwa vitendo ili uwe miongoni mwa wenye rehma za Mwenyezi Mungu,...

 

11 years ago

Bongo Movies

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani