Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: Birthday Party ya Butuli Iliyofanyika Hoteli ya Kempisk Hapo Jana

Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na mwigizaji wa filamu Yobnesh Yussuph ‘Butuli’ aliposherekea siku yake ya kuzaliwa katika hoteli ya Hyatt Regency Kempisk hapo jana.

Sherehe hiyo ilihudhuliwa na baadhi ya watu wake wa karibu wakiwemo waigizaji wenzake, mbali na kufanya sherehe hiyo  mapema siku ya jana Butuli aliwatembea watoto wanaoisha kwenye mazingira magumu.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Birthday Party ya Wema Sepetu Jana Usiku

Usiku wa jana, Novemba 1 staa wa Bongo Movies , Wema sepetu aliangusha pomba la pati ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo mastaa wengi wa hapa bongo walikuwepo akiwepo na mpenzi wake Luis pamoja na mama yake mzazi.

Pia Wema Sepetu alionyesha gari lake  jipya alilonunua aina ya Range Rover na kulitambulisha mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.

Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

BIRTHDAY PARTY YA DIAMOND PLATNUMZ ILIYOFANYIKA GOLDEN JUBILEE

Diomond Platnumz akiingia na Wema kwenye Red Carpet Golden Jubilee kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa Oct 2, 2014.Wema Sepetu akimpeti peti Diamond wakiwa ndani ya mjengo wa Golden Jubilee kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Diaomond PlatnumzNi kula bata mpaka kuku wanaona wivu Diamond na baby wake Wema wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya msanii huyo.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Uzinduzi Wa Kitabu Cha Kanumba Hapo Jana

NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga,  jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinachoitwa ''Steven Charles Kanumba: The Great Fallen Tree''  kilichoandikwa na Emmanuel Zirimwabagabo, raia wa Congo anayeishi nchini Canada.

Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu kama marehemu Kanumba na si kulalamika kila siku,  jambo linalopelekea kuibuka...

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Uzinduzi wa filamu ya Mbwa Mwitu ulivyokuwa hapo jana kwenye ukumbi wa Mlimani City.

Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji. Tazama baadhi ya picha toka kwenye tukio hili. Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji....

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana

Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin  Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake  wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.

Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.

 

11 years ago

Bongo Movies

PICHA: Lunch party ya birthday ya kajala ilivyokuwa leo mchana

Tazama picha za lunch ya mwanadada Kajala ilivyokuwa leo kwenye birthday yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani