Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Kajala Akipata Matibabu Hospitali

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, muongozaji wa filamu maarufu Lamata ambaye ni rafiki wa karibu wa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameweka picha hii  ya ikimuonyesha Kajala akiwa hospital amelala kwenye kitanda maalumu tayari kuingizwa kwenye kifaa cha kitabibu zaidi.

Kwenye picha hiyo Lamata alimpa pole Kakala  na kumpa matumaini kwa kuandika;

‘Pole @new_kajala utapona mungu yupo nawe siku zote za maisha yako’

Bongomovies.com haijathibitisha kama ni kweli au ni maigizo.

Kama ni...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO


The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI ALI KARUME AKIPATA PICHA NA BAADHI AFISA UBALOZI NA VINGOZI WA TAMCO NA WATNZANIA WENGINEO

Balozi Ali Karume (katikati mwenye suti nyeusi) na Kanali Ruta ( wapili kutoka kulia) katika picha ya pamoja na baadhi ya vingozi wa TAMCO, Tanzania Muslim Community, DMV Watoto wa kitanzania wakiwa na wageni waalikwa na viongozi  wa TAMCO katika picha ya pamoja, TAMCO haiko nyuma kuwaandaa watoto wao ili kuhakikisha urithi huu watauendeleza baadaye
 Meya wa DC, Saleh Mohammed katika  na balozi Ali Karume kulia iliopigwa katika sherehe za Eid iloandaliwa na Tanzania Muslim Community TAMCO

 

9 years ago

StarTV

Hospitali ya Rufaa Bugando yakanusha Kupandisha garama za matibabu.

Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza imekanusha uvumi ambao umezagaa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kuwa imepandisha gharama za matibabu kwa kiwango kikubwa ambazo wananchi wanashindwa kuzimudu garama za matibabu.

Hospitali hiyo imedai kuendelea kutumia gharama zake za awali katika kuwahudumia wagonjwa licha ya kughubikwa na changamoto ya ufinyu wa bajeti inayoathiri mfumo wa uendeshaji.

Hospitali ya Rufaa ya Bugando kwa sasa ina zaidi ya miaka 44 ya kutoa huduma ya afya kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAPATIWA MASHINE YA MATIBABU YA MOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk Hussein Kidanto (kushoto) akipokea mashine za matibabu ya kufuatilia mwenendo wa mapigo ya moyo kutoka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya Human Welfare Trust, Gulab Shah, kwenye makabidhiano ya mashine hizo zilizotolewa ikiwa ni msaada kutoka kwa wanachama wa taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni wanachama wa taaisi hiyo

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Dar es salaam kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo

apollo-03

apollo-04

Watanzania wanashauriwa kuitumia fursa hii ya kipekee ya ziara ya kitabibu itakayofanywa na madaktari kutoka Hospitali za Apollo; Hyderabad.  Kwa miaka mingi, watanzania wameshindwa kupata matibabu sahihi nchini kitendo ambacho kimewasababishia kusafiri nje ya nchi kupata matibabu sahihi ya mfumo wa fahamu, uti wa mgongo, figo pamoja na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa mkojo.  Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wa Dar es salaam Kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo, India

 Watanzania wanashauriwa kuitumia fursa hii ya kipekee ya ziara ya kitabibu itakayofanywa na madaktari kutoka Hospitali za Apollo; Hyderabad.  Kwa miaka mingi, watanzania wameshindwa kupata matibabu sahihi nchini kitendo ambacho kimewasababishia kusafiri nje ya nchi kupata matibabu sahihi ya mfumo wa fahamu, uti wa mgongo, figo pamoja na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa mkojo. 
 Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni kuhakikisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda amtembelea mbunge Vita Kawawa anayepatiwa matibabu hospitali ya AMI jijini Dar

PG4A8390

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. Kushoto ni mke wa mbunge huyo, Siwa Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A8411

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wafurahishwa na huduma za matibabu ya madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wameelezea kufurahishwa kwao na huduma za matibabu zinazotolewa na madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Wakizungumza na mwandishi wetu aliyetembelea katika hospitali hiyo, mmoja wa wazee waliopata huduma ya matibabu ya ugonjwa wa moyo Bi. Salu Shinge amesema amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya moyo kwa muda mrefu lakini baada ya kuonana na Daktari bingwa siku ya Jumatatu na kuanza kutumia dawa, hali yake imbadilika na kwamba anajisikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani