BALOZI ALI KARUME AKIPATA PICHA NA BAADHI AFISA UBALOZI NA VINGOZI WA TAMCO NA WATNZANIA WENGINEO
Balozi Ali Karume (katikati mwenye suti nyeusi) na Kanali Ruta ( wapili kutoka kulia) katika picha ya pamoja na baadhi ya vingozi wa TAMCO, Tanzania Muslim Community, DMV
Watoto wa kitanzania wakiwa na wageni waalikwa na viongozi wa TAMCO katika picha ya pamoja, TAMCO haiko nyuma kuwaandaa watoto wao ili kuhakikisha urithi huu watauendeleza baadaye
Meya wa DC, Saleh Mohammed katika na balozi Ali Karume kulia iliopigwa katika sherehe za Eid iloandaliwa na Tanzania Muslim Community TAMCO
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nn738jMvrVg/XueGh8mogQI/AAAAAAALt6o/5j3Z3TAXlmw1Ntbxb2ljRMNSQs0SZ3QbQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-15%2Bat%2B5.31.11%2BPM.jpeg)
BALOZI ALI KARUME ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS ZANZIBAR, ATAJA ATAKAYOANZA AKIPATA RIDHAA YA WANANCHI
BALOZI Ali Karume ambaye ni mtoto wa muasisi wa nchi ya Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar huku akieleza kuwa baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25,2020 anatarajia kuwa Rais wa Nane.
Amesema iwapo atapata ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) na wananchi wakampa ridhaa kwa kumchagua kuwa Rais atahakikisha anaendeleza yale yote mazuri ambayo yamefanywa na...
10 years ago
VijimamboPICHA NYENGINE ZA EID KATIKA PROGRAM ZA WATOTO ZILIZOANDALIWA NA DADA AISHA SHARRIF, PAMOJA NA ZAWADI ZILIZOTOLEWA NA YEYE MWENYEWE NA BALOZI ALI KARUME
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1C43w309w40/VVyVIx3f6NI/AAAAAAAHYio/sRc9kptrRHQ/s72-c/004.jpg)
Balozi Seif Ali Idd akagua ujenzi wa Jengo jipya la Abiria wa usafiri wa Anga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-1C43w309w40/VVyVIx3f6NI/AAAAAAAHYio/sRc9kptrRHQ/s640/004.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Apr
Ali Kiba, Isha Mashauzi, Msaga Sumu na wengineo kupagawisha Pasaka Dar Live leo
Ile shoo kubwa na ya kijanja iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa burudani imewadia ambapo leo Aprili, 5 (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar mastaa wa muziki Bongo kama, Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’, Isha Mashauzi, Msaga Sumu na wengineo wanatarajiwa kutikisa vilivyo mashabiki watakaojitokeza.
Kwa mujibu wa Mratibu wa burudani katika ukumbi huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ aliawaomba mashabiki wote kufika kwa wingi...
10 years ago
Bongo Movies08 Jun
Picha: Kajala Akipata Matibabu Hospitali
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, muongozaji wa filamu maarufu Lamata ambaye ni rafiki wa karibu wa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameweka picha hii ya ikimuonyesha Kajala akiwa hospital amelala kwenye kitanda maalumu tayari kuingizwa kwenye kifaa cha kitabibu zaidi.
Kwenye picha hiyo Lamata alimpa pole Kakala na kumpa matumaini kwa kuandika;
‘Pole @new_kajala utapona mungu yupo nawe siku zote za maisha yako’
Bongomovies.com haijathibitisha kama ni kweli au ni maigizo.
Kama ni...
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAISLAM WAISHIO DC,MARYLAND, VIRGINIA NCHINI MAREKANI (TAMCO) WALIVYO ADHIMISHA TAMCO FAMILY DAY
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-yoVurHFH2zU/VZDrRlFyM1I/AAAAAAADuU4/n5kp4mY0vao/s72-c/12c641dc7fdbbd135ebd70d4c2487cf0.jpg)
AFISA WA UBALOZI BI. SWAHIBA AFANIKISHA HUDUMA YA KUONGEZA MUDA PASI ZA KUSAFIRIA SEATTLE, WA
![](http://1.bp.blogspot.com/-yoVurHFH2zU/VZDrRlFyM1I/AAAAAAADuU4/n5kp4mY0vao/s640/12c641dc7fdbbd135ebd70d4c2487cf0.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-b0LOIl5n2CU/VZDrVFPl6uI/AAAAAAADuV4/mYIQpA9tWe4/s640/eea9a346d0c9ac6c2e1edbf975130565.jpg)
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Habari katika picha: Baadhi ya picha bora zilizopigwa barani Afrika
9 years ago
Michuzi13 Nov
TAARIFA YA UJIO WA AFISA KUTOKA UBALOZI TANZANIA CANADA, VANCOUVER, BC, KWA AJILI YA KUPROCESS PASSPORT RENEWALS
UJIO HUU UTAGHARAMIWA NA WATANZANIA WATAKAOHITAJI KURENEW PASSPORT ZAO, GHARAMA HIZI NI FLIGHT NA HOTELI. KWA MAWASILIANO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA PHILIP MWIMANZI KUPITIA NAMBA YA SIMU 16046521864. NI VIZURI TUKAWASILIANA ASAP ILI TUJUE...