Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA NYENGINE ZA EID KATIKA PROGRAM ZA WATOTO ZILIZOANDALIWA NA DADA AISHA SHARRIF, PAMOJA NA ZAWADI ZILIZOTOLEWA NA YEYE MWENYEWE NA BALOZI ALI KARUME


Dada Aisha Sharrif akiendesha utaratibu mzima wa masuali na majibu kwa watoto wa kiislam, kuwajenga kiimani na dini yao, na baadae kupatiwa zawadi ya vitabu vya quran.Mungu amlipe kila kheri na ampe moyo wenye kuendelea na imani, AminWanafunzi wa dada Aisha Sharrif waliosoma quran, khadith na kutoa mawaidha, walikabidhiwa zawadi zao kutoka balozi Ali Karume, Mukhtar ni mmoja wa wanafunzi hao pia akiwa MC katika program yao, akipewa zawadi yake kutoka kwa balozi KarumeZuhura (Ulah) akiwa na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI ALI KARUME AKIPATA PICHA NA BAADHI AFISA UBALOZI NA VINGOZI WA TAMCO NA WATNZANIA WENGINEO

Balozi Ali Karume (katikati mwenye suti nyeusi) na Kanali Ruta ( wapili kutoka kulia) katika picha ya pamoja na baadhi ya vingozi wa TAMCO, Tanzania Muslim Community, DMV Watoto wa kitanzania wakiwa na wageni waalikwa na viongozi  wa TAMCO katika picha ya pamoja, TAMCO haiko nyuma kuwaandaa watoto wao ili kuhakikisha urithi huu watauendeleza baadaye
 Meya wa DC, Saleh Mohammed katika  na balozi Ali Karume kulia iliopigwa katika sherehe za Eid iloandaliwa na Tanzania Muslim Community TAMCO

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi awaadalia Futari ya pamoja Watoto Yatima, Mjini Dodoma

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa sadaka kwa Watoto Yatima wa kiumewa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Rahman kiliopo Chang’ombe Mjini Dodoma hapo kwenye makazi yake Mtaa wa Farahani Mjini Dodoma.Kulia ya Balozi Seif Ali Iddi ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi.Balozi Seif Ali Iddi akitoa sadaka kwa Watoto Yatima wa Kike wa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Rahman kiliopo Chang’ombe Mjini Dodoma baada ya kufutari nao pamoja.Baadhi ya Watoto Yatima wa Kituo cha...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akagua ujenzi wa Jengo jipya la Abiria wa usafiri wa Anga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka kushoto akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Abiria { Terminal 11 } katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wa Abeid Amani Karume akiwa pamoja na uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dr. Juma Malik Akio na Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar upande wa Serikali ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA

Watawa wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mburahati wakipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla iliyofanyika leo katika Mahabusu ya Watoto Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kituo cha Darul Alqam, Shaban Mohamed akipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEHERA ZA EID AL UDHA ILIVYOSHEREHEKEWA NA WANA DMV HUKO MARYLAND USA, ZIKIWEMO NA PROGRAM ZA WATOTO

Mwenyekiti wa jumuiya ya waislam DMV (kushoto) Ustadh Ali Mohammed akiwa na mmoja wa wageni rasmi katika meza kuu Canal Ruta (kulia) Meza kuu ilikwa na wageni rasmi, kutoka kulia ni Canal Ruta kutoka ubalozi wa tanzania washington DC, akimwakilisha mheshimiwa balozi akiwa katika shughuli nyengine za kikazi, wapili kulia ni balozi Ali Karume, wa tatu, rais wa TAMCO DMV, na wanne kushoto ni mke wa balozi Ali Karume
Meza kuu ilikwa na wageni rasmi, kutoka kulia ni Canal Ruta kutoka ubalozi wa...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI ALI KARUME ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS ZANZIBAR, ATAJA ATAKAYOANZA AKIPATA RIDHAA YA WANANCHI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
BALOZI Ali Karume ambaye ni mtoto wa muasisi wa nchi ya Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar huku akieleza kuwa baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25,2020 anatarajia kuwa Rais wa Nane.
Amesema iwapo atapata ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) na wananchi wakampa ridhaa kwa kumchagua kuwa Rais atahakikisha anaendeleza yale yote mazuri ambayo yamefanywa na...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi afunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali juu ya uchambuzi wa Bajeti na Masuala ya Uchumi iliyokuwa ikifanyika katika ukumbi wa Z. Ocean Hoteli Chuwini Wilaya ya Magharibi “A”. Baadhi ya Wajumbne wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotub a ya Balozi Seif hayupo pichani wakati akiifunga semina ya uchamguzi wa Bajeti na masuala yua Uchumi.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

10 years ago

Raia Mwema

Prof Lipumba ameisaidia Cuf na yeye mwenyewe kwa kujiuzulu

ILIKUWA ni mwanzo mpya mzuri kwa Chama cha Wananchi (CUF) kufanya siasa za ushirikiano katika Umo

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

Wazazi wana wajibu na ulazima wa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora - Balozi Seif Ali Iddi

Wazazi wana wajibu na ulazima wa kuhakikisha kwamba watoto wao wanawasimamia vyema katika kupata elimu bora itakayotoa mwanga wa kimaisha katika hatma yao ya baadaye. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa nasaha hizo wakati akizunghumza na Uongozi wa Kamati ya Skuli, walimu, Wazazi na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A “ mara baada ya kuikagua na kuangalia maendeleo na changamoto zinazoikabili skuli hiyo. 
Balozi Seif alisema elimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani