Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof Lipumba ameisaidia Cuf na yeye mwenyewe kwa kujiuzulu

ILIKUWA ni mwanzo mpya mzuri kwa Chama cha Wananchi (CUF) kufanya siasa za ushirikiano katika Umo

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA KUJIUZULU UWENYEKITI, UONGOZI WA CUF ZANZIBAR WATOA TAMKO

Kaimu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mawasiliano na Umma Mhe. Ismail Jussa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadhia ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicha Profesa Ibrahim Lipumba, aliotangaza jana jijini Dar es Salaam kujiuzulu kwake kwa nafasi hiyo na kubaki kama mwanachama tu wa CUF, mkutano huo umefanyika katika Afisi za CUF Vuga Zanzibar
Jana tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof. Lipumba ajiuzulu uenyekiti CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba leo ametangaza kujiuzulu uenyekiti ndani ya chama hicho.

 

10 years ago

IPPmedia

Police arrest Prof Lipumba, CUF members over 'illegal demonstration'


Police arrest Prof Lipumba, CUF members over 'illegal demonstration'
IPPmedia
Police in Dar es Salaam have arrested Civil United Front (CUF) National Chairman, Prof Ibrahim Lipumba and 32 other party followers allegedly for holding a demonstration without permission. The party followers who were marching in memory of their fellow ...

 

10 years ago

GPL

PROF. LIPUMBA AMECHOSHWA NA UKAWA AU CHAMA CHAKE CHA CUF?

NASHANGAA, kwa nini msomi kama Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatafuta uongo kuuficha utashi wake ambao kimsingi ndiyo uliomfanya awe mwanamageuzi na kukubali kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf)? Usomi siyo kuwa na vyeti ni uwezo au maarifa ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nilitaraji kumuona Prof. Lipumba akifikia tafsiri hii baada ya kubaini kuwa Umoja wa Katiba ya Mwananchi (Ukawa) alimokitumbukiza chama chake...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ.....: PROF. LIPUMBA ABWAGA MANYANGA UWENYEKITI WA CUF

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi -CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ametangaza kujiuzuli wadhifa wake huo mbele ya Waandishi wa habari kwenye `hoteli ya Peacock, Jijini Dar es salaam leo.
Prof. Lipumba amesema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya kukiukwa kwa Katiba ya Chama chao.
TAARIFA KAMILI ITAKUJIA MUDA SI MREFU,ENDELEA KUFUATILIA GLOBU YA JAMII.

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

10 years ago

Michuzi

Siwezi kujiuzulu kwa fedha ya Tegeta Escrow - Prof. Tibaijuka

NA CHALILA KIBUDA WA GLOBU YA JAMII.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi,Profesa Anna Tibajuka amesema kuwa hawezi kujiuzulu katika nafasi  ya uwaziri kutokana fedha ya Tegeta ESCROW.
Akizungumza  na Waandishi na Habari mapema leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Regency,Anna alisema kuwa udalali wake fedha hiyo ni kwa ajili ya wanafunzi katika shule  za Taasisi ya  Johansson  Girls Education Trust.

Alisema fedha hiyo aliyoipata ni ni bil 1.66 ambazo zilitoka katika kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani