Wakazi wa Dar es salaam kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo
Watanzania wanashauriwa kuitumia fursa hii ya kipekee ya ziara ya kitabibu itakayofanywa na madaktari kutoka Hospitali za Apollo; Hyderabad. Kwa miaka mingi, watanzania wameshindwa kupata matibabu sahihi nchini kitendo ambacho kimewasababishia kusafiri nje ya nchi kupata matibabu sahihi ya mfumo wa fahamu, uti wa mgongo, figo pamoja na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa mkojo. Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WmvXR1oWVBA/VbDMEJ8VRlI/AAAAAAAHrTM/4crpDFwOKtU/s72-c/apollo-03.jpg)
Wakazi wa Dar es salaam Kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo, India
![](http://4.bp.blogspot.com/-WmvXR1oWVBA/VbDMEJ8VRlI/AAAAAAAHrTM/4crpDFwOKtU/s400/apollo-03.jpg)
Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni kuhakikisha...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dqAAYzzXnF8/VcUFW6XccMI/AAAAAAAAHrc/ui80ZIC0k7E/s72-c/S%2B1.jpg)
Wataalamu wa Magonjwa ya Figo kutoka Hospitali ya Apollo India Watembelea Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-dqAAYzzXnF8/VcUFW6XccMI/AAAAAAAAHrc/ui80ZIC0k7E/s640/S%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-SFoM-6QXhRE/VcUFYQ2jebI/AAAAAAAAHro/4GR_BSNLbD4/s640/S%2B2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4PE-sdGOPPk/VcUFW56cRXI/AAAAAAAAHrY/7fW8g1W-l6c/s640/S%2B3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Hospitali za Apollo kuokoa zaidi ya watu 100 katika maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam
Hospitali za Apollo zimekuwa mstari wa mbele kwa teknolojia ya hali ya juu na zinaongoza katika kutoa huduma nafuu za matibabu kwa wagonjwa duniani kote. Apollo wanashiriki kwenye Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwa mara ya kwanza.
Hospitali za Apollo ziko hapa kutangaza huduma wanazotoa na kuongeza uelewa kuhusu Apollo. Wageni mbalimbali wanaotembelea Saba Saba wanaweza sasa kuelimishwa kuhusu huduma mbalimbali na teknolojia zinazotolewa na Hospitali za Apollo...
9 years ago
MichuziMtaalamu wa Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu kutoka Hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar
Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu kitendo kinachopelekea nchi kupoteza fedha nyingi kwa kuwapeleka wagonjwa wa matatizo ya aina hiyo nje ya nchi kupata matibabu na ushauri.
Inakadiriwa kuwa watoto wachanga 1000 kati 4000 wanaozaliwa na tatizo la mfumo wa fahamu hupatiwa matibabu huku wengine 3000 wakishindwa kupatiwa matibabu.
Kutokana na hali hiyo, Hospitali ya Apollo ya nchini India imemleta nchini daktari bingwa wa...
9 years ago
Michuzi18 Nov
KLABU YA ROTARY YA DAR ES SALAAM OYSTERBAY WATOA MATIBABU YA BURE KWA WAKAZI WA KEREGE-BAGAMOYO
![DSC_1602](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/DSC_1602.jpg)
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[BAGAMOYO] Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oyster Bay, kwa mara nyingine tena imeendesha matibabu katika kambi maalum ya matibabu ya bure katika mji wa Kerege uliopo Bagamoyo, Mkoani Pwani.
Kambi...
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Zaidi ya wakazi 700 wa Kerege wamenufaika na huduma ya matibabu ya bure kutoka klabu ya Rotary ya Oysterbay Dar
Mgeni rasmi Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Dkt.. Shukuru Kawambwa akiwasili katika eneo la matibabu.
Wananchi wa kijiji cha Kerege wamenufaika na huduma ya bure ya matibabu inayotolewa na klabu ya Rotary ya Oster Bay ya jijini Dar es Salaam kila mwaka katika shule ya msingi ya Kerege-Bagamoyo.
Akizungumza na wanahabari waliofika kujionea aina ya huduma za matibabu zinazotolewa na klabu hiyo, Dk. Shukuru Kawambwa,mbunge wa Bagamoyo , Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi akiwa kama...
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oyster Bay watoa matibabu ya bure kwa wakazi wa Kerege-Bagamoyo
Rais wa klabu ya Rotary Dar es Salaam Oyster Bay kwa mwaka huu wa 2015-2016, Mohamed Versi akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) katika mji wa Kerege jana Novemba 15. wakati wa zoezi hilo la kambi ya bure ya upimaji wa afya. (Picha zote na Andrew Chale ).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[BAGAMOYO] Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oyster Bay, kwa mara nyingine tena imeendesha matibabu katika kambi maalum ya matibabu ya bure katika mji wa Kerege uliopo Bagamoyo, Mkoani...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pDPix7u_8K0/VlmwyVeBySI/AAAAAAAII1E/x4GqpY_REn8/s72-c/75c70b20-aa79-4a7b-9f65-1c7eb991b9dc.jpg)
dada yetu Joyce aliyepata ajali Mbeya ahamishiwa hospitali, kupelekwa Dar es salaam Alhamisi kwa matibabu
Ndugu Wasamaria wema na wadau,Napenda kutumia fursa hii kukufahamisheni kuwa hatimaye dada yetu Joyce Mwambepo ametoka nyumbani yupo hospitali ya rufaa Mbeya chini ya uangalizi wa Dr. Mboma akifanyiwa mazoezi ya viungo kabla ya kuelekea hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa vipimo na matibabu. Baada ya michango mbalimbali ambayo wasamaria wema wamekuwa wakichangia toka ndani na nje ya nchi, hatimaye Dada Joyce na mimi tutasafiri pamoja Alhamisi ijayo...