dada yetu Joyce aliyepata ajali Mbeya ahamishiwa hospitali, kupelekwa Dar es salaam Alhamisi kwa matibabu
![](http://2.bp.blogspot.com/-pDPix7u_8K0/VlmwyVeBySI/AAAAAAAII1E/x4GqpY_REn8/s72-c/75c70b20-aa79-4a7b-9f65-1c7eb991b9dc.jpg)
Na Deo Kakuru, Mbeya
Ndugu Wasamaria wema na wadau,Napenda kutumia fursa hii kukufahamisheni kuwa hatimaye dada yetu Joyce Mwambepo ametoka nyumbani yupo hospitali ya rufaa Mbeya chini ya uangalizi wa Dr. Mboma akifanyiwa mazoezi ya viungo kabla ya kuelekea hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa vipimo na matibabu. Baada ya michango mbalimbali ambayo wasamaria wema wamekuwa wakichangia toka ndani na nje ya nchi, hatimaye Dada Joyce na mimi tutasafiri pamoja Alhamisi ijayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziHabari njema: Michango ya wasamaria wema yafanikisha Dada Joyce wa Mbeya kuwasili Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu
Tunapenda kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambalo dereva wake hakusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya ambako inasemekana alikaa kwa miezi mitatu bila...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Habari njema: Michango ya wasamaria wema yafanikisha Dada Joyce wa Mbeya kuwasili Muhimbili kwa matibabu
Ndugu Wasamaria wema,
Tunapenda kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambalo dereva wake hakusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya ambako inasemekana alikaa kwa miezi mitatu bila...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Habari njema: Malipo ya vipimo vya MRI yafanyika kutokana na michango ya wasamaria wema yaliyofanikisha Dada Joyce wa Mbeya kufikishwa Muhimbili kwa matibabu
Ndugu Wasamaria wema,
UPDTAES ZA LEO
Kwa kutumia michango ya wasamaria wema, leo tayari Ankal ameshalipia malipo kwa ajili ya vipimo vya MRI kwa dada Joyce yanayotarajiwa kufanyika Alhamisi hii ama Ijumaa. Baada ya matokeo ya vipimo vyake jopo la madaktari bingwa bingwa litakaa nakuamua nini cha kufanya kumsaidia dada Joyce. Hivyo tuendelee kumsaidia kwa hali na mali pamoja na dua.
Kama umeguswa na unataka kutoa msaada unaweza kuwasiliana na Ankal kwa email
issamichuzi@gmail.com ama...
9 years ago
Michuziupdates za dada Joyce Richard Mwambepo wa mbeya aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuvunjika miguu ajalini
Dada Joyce alipowasili Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki iliyopita
Ndugu Wasamaria Wema,
Tunapenda kutumia fursa hii kuwashirikisha tena habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Rishard Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye wa miaka 4, na miguu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na huyo mwanaye wa miaka 4.Kwa bahati mbaya mwezi...
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Wakazi wa Dar es salaam kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo
Watanzania wanashauriwa kuitumia fursa hii ya kipekee ya ziara ya kitabibu itakayofanywa na madaktari kutoka Hospitali za Apollo; Hyderabad. Kwa miaka mingi, watanzania wameshindwa kupata matibabu sahihi nchini kitendo ambacho kimewasababishia kusafiri nje ya nchi kupata matibabu sahihi ya mfumo wa fahamu, uti wa mgongo, figo pamoja na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa mkojo. Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni...
10 years ago
Dewji Blog05 Apr
Mo blog inamtakia pole ya uzima Blogger na Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Joseph Mwaisango aliyelazwa kwa matibabu
Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu, blogger Joseph Mwaisango akiwa yupo kitandani Hospitali ya Rufaa Mbeya ambaapo amelazwa tokea jana akisumbuliwa na tatizo la tumbo.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Mtandao wa Modewji blog unamtakia uzima na unafuu Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Blog, Joseph Mwaisango ambaye jana Aprili 4, alilazwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya, kutokana na maradhi ya tumbo yanayomsumbua.
Modewji blog na wadau wetu wengine munaendelea kuperuzi nasi kila siku, tuna kila...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WmvXR1oWVBA/VbDMEJ8VRlI/AAAAAAAHrTM/4crpDFwOKtU/s72-c/apollo-03.jpg)
Wakazi wa Dar es salaam Kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo, India
![](http://4.bp.blogspot.com/-WmvXR1oWVBA/VbDMEJ8VRlI/AAAAAAAHrTM/4crpDFwOKtU/s400/apollo-03.jpg)
Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni kuhakikisha...
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Dk Bisimba kupelekwa India kwa matibabu