Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Bisimba kupelekwa India kwa matibabu

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba anatarajia kusafirishwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kisumo kupelekwa India kwa matibabu

Mwanasiasa mkongwe na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisumbuliwa na maradhi ya moyo na figo, amesema wiki hii atapelekwa nchini India kwa matibabu zaidi.

 

9 years ago

Michuzi

dada yetu Joyce aliyepata ajali Mbeya ahamishiwa hospitali, kupelekwa Dar es salaam Alhamisi kwa matibabu

Na Deo Kakuru, Mbeya
Ndugu Wasamaria wema na wadau,Napenda kutumia fursa hii kukufahamisheni  kuwa hatimaye dada yetu Joyce Mwambepo ametoka nyumbani yupo hospitali ya rufaa Mbeya chini ya uangalizi wa Dr. Mboma akifanyiwa mazoezi ya viungo kabla ya kuelekea hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa vipimo na matibabu.  Baada ya michango mbalimbali ambayo wasamaria wema wamekuwa wakichangia toka ndani na nje ya nchi, hatimaye Dada Joyce  na mimi tutasafiri pamoja Alhamisi ijayo...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nassra safari India kwa matibabu

Alhamdulilah,nineno la shukrani ambalo mja humshukuru Mola wake kwa kila jambo.Kwa upande wangu nimeamua kutumia neno hili leo baada ya kufanikiwa kile ambacho kilikuwa kimenikaa rohoni juu ya mtoto huyu pichani (Nassra)anaesumbuliwa na mguu tangia akiwa […]

The post Nassra safari India kwa matibabu appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Bongo5

Wastara kwenda India kwa matibabu ya mguu ‘niombeeni’

wastara mguu

Afya ya muigizaji wa filamu, Wastara Juma bado haijarejea vyema baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa mguu wake wa kulia nchini Kenya hivi karibuni.

wastara mguu

Wastara ameiambia Bongo5 kuwa bado anajisikia maumivu makali hali inayomfanya ajipange kwa safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

“Watu waniombee tu,” amesema. “Napata maumivu makali kwenye mguu ambayo yanapanda mpaka kwenye mgongo. Nimetoka Kenya juzi tu kwa ajili ya matibabu lakini bado maumivu makali sana. Tayari...

 

10 years ago

GPL

MTOTO BONGE KUPELEKWA INDIA

HATIMAYE Mtoto Grace Simon (14) (pichani) ambaye ameacha shule kutokana na tatizo la unene wa kupindukia, sasa atapelekwa India kwa ajili ya matibabu kwa gharama za serikali. Mtoto Grace Simon (14) ambaye ameacha shule kutokana na tatizo la unene wa kupindukia. Mama mzazi wa Grace, Ashura Bakari alimwambia mwandishi wetu kuwa baada ya gazeti hili kuandika habari za mwanaye mara kwa mara, serikali imesikia kilio cha Grace ambaye...

 

10 years ago

Vijimambo

Hatimae Bi Moza afanikisha kumpeleka mtoto wake India kwa matibabu


Bi Moza akiwa akimshindikiza mtoto wake Moh'd Saidi, Nchini India kwa matibabuBi Moza Moh'd Khamis anapenda tena kutoa shukurani za dhati kwa wale wote waliochangia kwa hali na mali kwa mtoto wake Moh'd Said Moh'd, kwenda kufanyiwa matibabu ya upandikizaji wa figo, nchini India.Mapema asubuhi ya leo Bi Moza aliongea na blog ya swahilivilla ili kutoa taarifa kwa kukamilika safari yake ya kwenda nchini India pamoja na kutaka tumuombe Dua za kumtakia kila la kheri katika safari hiyo.Moh'd...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...

 

10 years ago

Mwananchi

NSSF, Apollo wanavyojipanga kuleta matibabu ya India nchini

Kwenye sekta ya afya, inaaminika kuwa India ni mkombozi wa uhai wa Watanzania wengi kwa kuwa matibabu yaliyoshindikana hapa nchini yameweza kufanyika kwa ufanisi nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA KUTOKA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU JIJINI ARUSHA

MADAKTARI bingwa kutoka hospitali ya  SPS Apollo iliyopo  Ludhiananchini India wamewasili nchini na kuanza kutoa huduma ya ushauri burekwa magonjwa makubwa ambayo yamekuwa yakiwasumbua watu wengi nakuwalazimu  kwenda kutibiwa nchini India.
Akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha kutoa huduma kwamatibabu Arusha, Austin Makani alisema kuwa , madaktari bingwa haowanatoa ushauri kwa wagonjwa wenye matatizo ya Figo , Moyo, tumbo,saratani, mishipa ya fahamu, uti wa mgongo, upasuaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani