Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO BONGE KUPELEKWA INDIA

HATIMAYE Mtoto Grace Simon (14) (pichani) ambaye ameacha shule kutokana na tatizo la unene wa kupindukia, sasa atapelekwa India kwa ajili ya matibabu kwa gharama za serikali. Mtoto Grace Simon (14) ambaye ameacha shule kutokana na tatizo la unene wa kupindukia. Mama mzazi wa Grace, Ashura Bakari alimwambia mwandishi wetu kuwa baada ya gazeti hili kuandika habari za mwanaye mara kwa mara, serikali imesikia kilio cha Grace ambaye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Dk Bisimba kupelekwa India kwa matibabu

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba anatarajia kusafirishwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisumo kupelekwa India kwa matibabu

Mwanasiasa mkongwe na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisumbuliwa na maradhi ya moyo na figo, amesema wiki hii atapelekwa nchini India kwa matibabu zaidi.

 

11 years ago

GPL

MADAKTARI INDIA: MTOTO ALICHELEWESHWA

Hamis Hashim Liguya akiwa katika Hospitali ya Ganga, mjini Mombai India. SIKU chache baada mtoto Hamis Hashim Liguya (13) aliyekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu kuwasili nchini India, jopo la madaktari mjini Mombai, limesema mtoto huyo alicheleshwa kupewa matibabu kwani angewezekana kutibiwa mapema. Jopo la madaktari wakiongea…

 

11 years ago

GPL

CHATU AMEZA MTOTO WA SWALA INDIA

Jamii ya chatu amenaswa na Kamera akimeza mtoto wa Swala katika kijiji cha Billa nchini India. ...akiendelea kummeza mtoto wa Swala.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka 2 aweka rekodi India

Amini usiamini mtoto mwenye umri wa miaka miwili ameweka rekodi ya taifa ya ulengaji shabaha kwa mishale nchini India.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka sita abakwa India

Mtoto wa miaka 6 wa shule amebakwa na wafanyakazi wawili wa shule moja maarufu Kusini mwa mji wa Bangaloer nchini India.

 

11 years ago

GPL

MTOTO MWENYE GONJWA LA AJABU... ATUA INDIA

Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa ajabu kwenye miguu, hatimaye mtoto Hamis Hashim Liguya (13) ametua nchini India kwa ajili ya matibabu. Mtoto Hamis Hashim Liguya (13). Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar Jumamosi iliyopita, majira ya saa 6 mchana, ndugu, jamaa na wadau mbalimbali walifika kumsindikiza mtoto huyo aliyewasili India Jumapili iliyopita....

 

9 years ago

BBCSwahili

India: Watu 2 ndani kubaka mtoto wa miaka 2

Polisi mjini Delhi, India wamewakamata vijana wawili, wanaotuhumiwa kwa ubakaji wa mtoto wa miaka mwili.

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE MTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU AKATWA MGUU INDIA

Mtoto mwenye uvimbe wa ajabu, Hamis Liyuga akiwa anaandaliwa kupelekwa katika chumba cha upasuaji. Hamis Liyuga akipelekwa katika chumba cha upasuaji.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani