Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF, Apollo wanavyojipanga kuleta matibabu ya India nchini

Kwenye sekta ya afya, inaaminika kuwa India ni mkombozi wa uhai wa Watanzania wengi kwa kuwa matibabu yaliyoshindikana hapa nchini yameweza kufanyika kwa ufanisi nchini humo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wakazi wa Dar es salaam Kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo, India

 Watanzania wanashauriwa kuitumia fursa hii ya kipekee ya ziara ya kitabibu itakayofanywa na madaktari kutoka Hospitali za Apollo; Hyderabad.  Kwa miaka mingi, watanzania wameshindwa kupata matibabu sahihi nchini kitendo ambacho kimewasababishia kusafiri nje ya nchi kupata matibabu sahihi ya mfumo wa fahamu, uti wa mgongo, figo pamoja na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa mkojo. 
 Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni kuhakikisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Dar es salaam kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo

apollo-03

apollo-04

Watanzania wanashauriwa kuitumia fursa hii ya kipekee ya ziara ya kitabibu itakayofanywa na madaktari kutoka Hospitali za Apollo; Hyderabad.  Kwa miaka mingi, watanzania wameshindwa kupata matibabu sahihi nchini kitendo ambacho kimewasababishia kusafiri nje ya nchi kupata matibabu sahihi ya mfumo wa fahamu, uti wa mgongo, figo pamoja na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa mkojo.  Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni...

 

10 years ago

Michuzi

Wataalamu wa Magonjwa ya Figo kutoka Hospitali ya Apollo India Watembelea Tanzania



Na Mwandishi Wetu, Dar Kwa miaka mingi upatikanaji wa wataalamu wa Afya na matibabu ya uhakika unakabiliwa na changamoto kuu mbili inayowakumba wagonjwa wengi Tanzania.Watanzaniawamekuwa wakisafiri nje ya nchi kupata matibabu ya Figo na magonjwa yanayohusiana na kibofu. Hivyo wataalamu wawili waliobobea katika magojwa ya Figo na Kibofu kutoka Hospitali za Apollo walitembelea nchini Tanzania wakishirikiana na madaktari kutoka Hospital ya Hindu Mandal ili kuwafanyia uchunguzi, kutoa tiba na...

 

9 years ago

Vijimambo

HON. PRESIDENT OF INDIA PRESENTING AN AWARD FOR BEST MEDICAL TOURISM FACILITY TO APOLLO HEALTH CITY, HYDERABAD

Mr. Radhey Mohan (Vice president – International Marketing, Apollo Health City, Hyderabad), Dr. Mahesh Verma (Ministry of Tourism & Civil Aviation), Hon. Sh. Pranab Mukherjee (Hon. president of India), Ms. Sangita Reddy (Joint Managing Director, Apollo Hospitals Group) and Mr. Vinod Zutshi (Secretary – Ministry of Tourism, Govt. of India).Hon. President of India presenting an Award for Best Medical Tourism facility to Apollo Health City, Hyderabad. This is the third consecutive year...

 

11 years ago

Mwananchi

Kisumo kupelekwa India kwa matibabu

Mwanasiasa mkongwe na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisumbuliwa na maradhi ya moyo na figo, amesema wiki hii atapelekwa nchini India kwa matibabu zaidi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nassra safari India kwa matibabu

Alhamdulilah,nineno la shukrani ambalo mja humshukuru Mola wake kwa kila jambo.Kwa upande wangu nimeamua kutumia neno hili leo baada ya kufanikiwa kile ambacho kilikuwa kimenikaa rohoni juu ya mtoto huyu pichani (Nassra)anaesumbuliwa na mguu tangia akiwa […]

The post Nassra safari India kwa matibabu appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Bisimba kupelekwa India kwa matibabu

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba anatarajia kusafirishwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

 

9 years ago

Bongo5

Wastara kwenda India kwa matibabu ya mguu ‘niombeeni’

wastara mguu

Afya ya muigizaji wa filamu, Wastara Juma bado haijarejea vyema baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa mguu wake wa kulia nchini Kenya hivi karibuni.

wastara mguu

Wastara ameiambia Bongo5 kuwa bado anajisikia maumivu makali hali inayomfanya ajipange kwa safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

“Watu waniombee tu,” amesema. “Napata maumivu makali kwenye mguu ambayo yanapanda mpaka kwenye mgongo. Nimetoka Kenya juzi tu kwa ajili ya matibabu lakini bado maumivu makali sana. Tayari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani