Wataalamu wa Magonjwa ya Figo kutoka Hospitali ya Apollo India Watembelea Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar Kwa miaka mingi upatikanaji wa wataalamu wa Afya na matibabu ya uhakika unakabiliwa na changamoto kuu mbili inayowakumba wagonjwa wengi Tanzania.Watanzaniawamekuwa wakisafiri nje ya nchi kupata matibabu ya Figo na magonjwa yanayohusiana na kibofu. Hivyo wataalamu wawili waliobobea katika magojwa ya Figo na Kibofu kutoka Hospitali za Apollo walitembelea nchini Tanzania wakishirikiana na madaktari kutoka Hospital ya Hindu Mandal ili kuwafanyia uchunguzi, kutoa tiba na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWakazi wa Dar es salaam Kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo, India
Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni kuhakikisha...
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Wakazi wa Dar es salaam kupata matibabu yatakayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali za Apollo
Watanzania wanashauriwa kuitumia fursa hii ya kipekee ya ziara ya kitabibu itakayofanywa na madaktari kutoka Hospitali za Apollo; Hyderabad. Kwa miaka mingi, watanzania wameshindwa kupata matibabu sahihi nchini kitendo ambacho kimewasababishia kusafiri nje ya nchi kupata matibabu sahihi ya mfumo wa fahamu, uti wa mgongo, figo pamoja na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa mkojo. Nia na madhumuni ya ziara ya madaktari na washauri hawa kutoka Hospitali za Apollo nchini Tanzania ni...
9 years ago
MichuziMtaalamu wa Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu kutoka Hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar
Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu kitendo kinachopelekea nchi kupoteza fedha nyingi kwa kuwapeleka wagonjwa wa matatizo ya aina hiyo nje ya nchi kupata matibabu na ushauri.
Inakadiriwa kuwa watoto wachanga 1000 kati 4000 wanaozaliwa na tatizo la mfumo wa fahamu hupatiwa matibabu huku wengine 3000 wakishindwa kupatiwa matibabu.
Kutokana na hali hiyo, Hospitali ya Apollo ya nchini India imemleta nchini daktari bingwa wa...
5 years ago
MichuziWataalamu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Muhimbili watembelea Kituo cha COVID-19 Hospitali ya Amana
Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) Dkt. Stanley Binagi...
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Hospitali ya Apollo yafanikiwa kutenganisha mapacha kutoka Tanzania walioungana
Watanzania waendelea kufaidika kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyoko nchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumboni kutoka nchini Tanzania katika upasuaji uliofanyika tarehe 17 Novemba 2014 nchini India. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na upasuaji uliofanyika na hospitali Apollo ulikuwa wenye mafanikio na wa aina yake.
Mapacha...
10 years ago
Habarileo22 Jun
Serikali, Apollo kuanzisha hospitali ya magonjwa sugu
SERIKALI kwa kushirikiana na Hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa India.
10 years ago
Dewji Blog25 Apr
Hospitali ya Apollo kuendesha kliniki ya ushauri wa magonjwa ya goti, nyonga, bega na mfumo wa fahamu Dar
Kufuatia idadi kubwa ya Watanzania ambao mara kwa mara husafiri kwenda India kwa sababu tofauti tofauti za kimatibabu, wataalamu kutoka Hospitali ya Apollo, Hyderabad, wamefikia uamuzi wa kutoa tiba na ushauri wa kitaalamu kwa Watanzania kupitia kiliniki maalumu ya siku mbili itakayofanyika Dar es Salaam. Kliniki hii maalum itaendeshwa na mtaalamu wa upasuaji wa mfumo wa fahamu, Dkt Alok Ranjan na mtaalamu wa upasuaji wa mifupa, Dkt Somasekhar Reddy katika hospitali ya Hindu Mandal tarehe...
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) watembelea Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultramodern Hospitalâ€!!
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital” iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM. Ziara hiyo imefanyika jana Desemba Mosi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
[DODOMA] Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) kipo katika mkutano wake mkuu wa...
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
JK aongoza mahusiano kati ya Tanzania na Hospitali za Apollo
Mahusiano kati ya Tanzania na India yalianza miaka mingi iliyopita, tangu kipindi hicho mahusiano haya yamekua kufikia mafanikio ya hali ya juu kwa nchi zote mbili. Rais Jakaya Kikwete alitembelea nchini India ambapo alikutana na maafisa mbali mbali wa Serikali hiyo ya India pamoja na maafisa watendaji wakuu wa makampuni pamoja na taasisi mbali mbali. Pia wakati wa ziara hii Rais alisaini makubaliano ya kushirikiana kati ya serikali ya Tanzania na Hospitali za Apollo nchini...