JK aongoza mahusiano kati ya Tanzania na Hospitali za Apollo
Mahusiano kati ya Tanzania na India yalianza miaka mingi iliyopita, tangu kipindi hicho mahusiano haya yamekua kufikia mafanikio ya hali ya juu kwa nchi zote mbili. Rais Jakaya Kikwete alitembelea nchini India ambapo alikutana na maafisa mbali mbali wa Serikali hiyo ya India pamoja na maafisa watendaji wakuu wa makampuni pamoja na taasisi mbali mbali. Pia wakati wa ziara hii Rais alisaini makubaliano ya kushirikiana kati ya serikali ya Tanzania na Hospitali za Apollo nchini...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Hospitali ya Apollo yafanikiwa kutenganisha mapacha kutoka Tanzania walioungana
Watanzania waendelea kufaidika kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyoko nchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumboni kutoka nchini Tanzania katika upasuaji uliofanyika tarehe 17 Novemba 2014 nchini India. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na upasuaji uliofanyika na hospitali Apollo ulikuwa wenye mafanikio na wa aina yake.
Mapacha...
10 years ago
Dewji Blog25 Mar
Hospitali za Apollo na jitihada za kuimarisha sayansi ya mfumo wa fahamu Tanzania
Umakini kwa mara nyingine tena umewekwa katika uhitaji wa wataalamu zaidi na kuboresha miundombinu ndani ya sekta ya utabibu wa upasuaji wa mfumo wa fahamu. Hii inakuja baada ya ziara ya hivi karibuni na timu ya madaktari kutoka hospitali ya Apollo nchini India. Madaktari ambao walikuwa nchini kwa lengo la kujenga uhusiano unaoendelea kati ya hospitali hiyo na Tanzania, walipata fursa ya kutembelea taasisi mbalimbali ikiwa ni pamoja na maboresho ya ujuzi wa wauguzi ambao walipata mafunzo...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-wVJkuSkWt_w/U2ScQBUM3OI/AAAAAAAFfA8/LX5r1KERH8g/s1600/unnamed+%289%29.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dqAAYzzXnF8/VcUFW6XccMI/AAAAAAAAHrc/ui80ZIC0k7E/s72-c/S%2B1.jpg)
Wataalamu wa Magonjwa ya Figo kutoka Hospitali ya Apollo India Watembelea Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-dqAAYzzXnF8/VcUFW6XccMI/AAAAAAAAHrc/ui80ZIC0k7E/s640/S%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-SFoM-6QXhRE/VcUFYQ2jebI/AAAAAAAAHro/4GR_BSNLbD4/s640/S%2B2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4PE-sdGOPPk/VcUFW56cRXI/AAAAAAAAHrY/7fW8g1W-l6c/s640/S%2B3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Hospitali ya Apollo kuendesha kambi ya uchunguzi kwa ajili ya wagonjwa wa Moyo na mfumo wa fahamu Tanzania
Mwezi Machi sekta ya afya nchini Tanzania imepokea wataalam kutoka nchi mbalimbali duniani kwa ajili ya kutoa huduma za vipimo, ushauri na matibabu kwa watanzania. Ujio huu umeleta faida kubwa kwa wagonjwa na wataalamu nchini. Miongoni mwa waliotembelea ni timu ya Madaktari bingwa kutoka Israel na Hospitali za Apollo zilizopo nchini India. Ziara hizi za mwishoni mwa mwezi March zilitanguliwa na ziara ya madaktari wawill kutoka hospitali ya Apollo ya bangarole mwanzoni mwa mwaka...
10 years ago
Habarileo23 Jun
Serikali, Apollo kuanzisha hospitali
SERIKALI kwa kushirikiana na hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa kwenda India.
10 years ago
Habarileo22 Jun
Serikali, Apollo kuanzisha hospitali ya magonjwa sugu
SERIKALI kwa kushirikiana na Hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa India.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7t2*peuA5656VfvVTs0bDaQg28Ehor6kq-TEH3e0*QHepOA4QXi6saFw8XPy7oxtjSaRN3CsH-sTz*oVYximz4S/constipation.jpg?width=650)
MAHUSIANO KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MUUNGURUMO-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGjkObauo**XT5UMZQaLKP*MfFukm8lTwEpOetN3N87yLrhEVPQkhMUxKVHbQiMJo2aPn6*atDm0S1GwD2hGvpdt/GasinStomach.jpg?width=650)
MAHUSIANO KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MUUNGURUMO-3