MAHUSIANO KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MUUNGURUMO-3
![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGjkObauo**XT5UMZQaLKP*MfFukm8lTwEpOetN3N87yLrhEVPQkhMUxKVHbQiMJo2aPn6*atDm0S1GwD2hGvpdt/GasinStomach.jpg?width=650)
Wiki iliyopita tuliweza kujibu swali ambalo lilikuwa na utata kwa watu wengi na tukaona kwamba mtu anayepatwa na tatizo hili la kuunguruma kwa tumbo, tumbo kujaa gesi kwamba siyo dhaifu kwenye tendo la ndoa tu bali hata kwenye kufanya mambo mengine pia wanakumbwa na udhaifu. MADHARA YA TATIZO HILI {CONSTIPATION} Basi leo tutayaona madhara makubwa ambayo yanawakuta watu wanaopatwa na tatizo kama hili na wanakuwa hawachukui hatua...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7t2*peuA5656VfvVTs0bDaQg28Ehor6kq-TEH3e0*QHepOA4QXi6saFw8XPy7oxtjSaRN3CsH-sTz*oVYximz4S/constipation.jpg?width=650)
MAHUSIANO KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MUUNGURUMO-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu1olEQnFCxY12prQNbX0YywIHvVfi0JwNL-Xk7sDQEDIoRXs6nguE5NeKrdoENctxzSbHVQ9UaNNgfPbsbxVyAl/constipation530x450.jpg?width=650)
JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRb7Duq7*GKwMVxKlGwnsAuuTFzfiUsDX0MXZn*WOJQhcuzqRxs6ObvEQk5wyIuzFupW5VRhE9DxKiMSKWj05nxg/MTOTO.jpg?width=650)
MTOTO WA TUMBO KUJAA, DALILI NJEMA
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
JK aongoza mahusiano kati ya Tanzania na Hospitali za Apollo
Mahusiano kati ya Tanzania na India yalianza miaka mingi iliyopita, tangu kipindi hicho mahusiano haya yamekua kufikia mafanikio ya hali ya juu kwa nchi zote mbili. Rais Jakaya Kikwete alitembelea nchini India ambapo alikutana na maafisa mbali mbali wa Serikali hiyo ya India pamoja na maafisa watendaji wakuu wa makampuni pamoja na taasisi mbali mbali. Pia wakati wa ziara hii Rais alisaini makubaliano ya kushirikiana kati ya serikali ya Tanzania na Hospitali za Apollo nchini...
10 years ago
Bongo519 Aug
Batuli aeleza kwanini mahusiano kati ya mastaa wa Bongo hayadumu
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-wVJkuSkWt_w/U2ScQBUM3OI/AAAAAAAFfA8/LX5r1KERH8g/s1600/unnamed+%289%29.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8tRtbUJ3HO4/VN0QOK6LUmI/AAAAAAAHDYM/pbg04cUgsOM/s72-c/download.jpeg)
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA, MAHUSIANO KATI YA MME NA MKE KWA MIAKA MIWILI NI NDOA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8tRtbUJ3HO4/VN0QOK6LUmI/AAAAAAAHDYM/pbg04cUgsOM/s1600/download.jpeg)
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, zipo aina nyingi za ndoa. Pamoja na kuwa na aina nyingi za ndoa, ndoa hizi tunaweza kuzigawa katika makundi makuu mawili. Kwanza, ndoa za serikali(civil marriage) na Pili ni ndoa za kimila(customary marriage).
Ndoa za serikali ni zile ndoa zinazofungwa kwa mkuu wa Wilaya, Msajili wa ndoa pamoja na katika Ofisi nyingine za serikali kama Ubalozini n.k.
Ndoa za kimila ni zile ndoa zinazofungwa kulingana na taratibu za kabila la wahusika; kwa mfano...
9 years ago
StarTV21 Aug
Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa
Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.
Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Kukua au kujaa matiti kwa mwanaume