Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kukua au kujaa matiti kwa mwanaume

Kwa kawaida mwanaume ameumbwa kuwa na matiti madogo, ugonjwa wa wanaume kuwa na matiti makubwa kama wanawake huleta usumbufu hasa wa kisaikologia kwa mwanume husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?

Watu wengi wamekuwa wakiwasiliana nasi wakihusisha haya mambo mawili hasa wanaume pasipo kujua kama yanahusiana kwa ukaribu au laa. Na kwa maana hiyo, leo watu wengi wataweza kujua uhusiano wa haya mambo mawili yaani miungurumo ya tumbo, tumbo kujaa gesi na miungurumo ya hapa na pale katika kushiriki tendo la ndoa au kupungukiwa na nguvu katika kushiriki tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu huitwa constipation, yaani mtu kuwa na...

 

10 years ago

CloudsFM

MWANAUME ADAIWA KUDONDOKA ANGANI AKIWA NA MATITI

Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina lake na mahali anapoishi amedaiwa kuanguka angani akiwa mtupu kama alivyozaliwa huku akiwa na matiti kama mwanamke,mwanaume huyo alinusurika kupigwa na wananchi wenye hasira na kuokolewa na polisi na kupelekwa kwenye kituo cha polisi cha Magomeni.Mwanaume huyo ambaye anahusishwa na imani za kishirikiana akiwa amepewa nguo katika kituo cha polisi cha Magomeni,jijini Dar.

 

11 years ago

Michuzi

KUKUA KWA KASI KWA BIMA INAYOFUATA MAADILI YA KI-ISLAMU

Katika biashara zinazokua kwa kasi duniani ni biashara ya bima inayofuata maadili ya ki- Islam inayojulikana kama ‘Takaful’. Misingi ya bima inayofuata maadili ya ki - Islam ni ushirikiano wa pande zote zinazohusika ktk biashara hiyo. Washiriki wote katika Takaful watashirikiana katika faida na hasara, kwa mfano, yoyote atakaenunua bima hiyo atakua ni kama mjasiri mali (investor) sambamba na yule anaendesha biashara hiyo (the takaful operator) na pande nyingine zitakazohusika kama vile...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mfumo wa matokeo kwa sms ni kukua kwa elimu

MIAKA ya 70 iliyopita hali ya elimu nchini haikuwa ya kuridhisha kutokana na kukosekana vifaa vya kufundishia na madarasa ya kutosha, tofauti na sasa mambo yamekuwa mazuri kila kitu kinafanyika kwa kimaendeleo. 

Mfumo ambao nataka kuuzungumia hapo ulikuwa ni ule wa wanafunzi walivyokuwa wanasoma huku wamekaa chini au pembezoni mwa miti kutokana na kukosa madawati.

Kwa sasa tumepiga hatua kubwa katika maendeleo ya sekta ya elimu hasa baada ya uwekezaji wa elimu kuongezeka kwa kiasi...

 

9 years ago

Bongo5

Hermy B na Pancho kumleta Mwana FA na ‘Asanteni Kwa Kuja’

12298952_951039554970796_1769017982_n

Mwana FA na Hermy B wakikutana hawajawahi kumiss zaidi ya kuhit!

12298952_951039554970796_1769017982_n

Uzikumbuka ‘Habari Ndio Hiyo’, ‘Bado Nipo Nipo’, ‘Naongea Na Wewe’, ‘Msiache Kuongea’ , ‘Naona Nazeeka Sasa’ na ‘Nangoja Ageuke?’ Hizi zote zilipigwa nwa Hermy B kwenye studio za B’Hits na sasa wawili hao wanakuletea ‘Asanteni Kwa Kuja.’

FA ambaye amekuwa kimya tangu aachie ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba, anavunja ukimya kwa ngoma hiyo yenye kila dalili za kuja kuwa gumzo kama zilivyo ngoma zake nyingi.

Hermy B...

 

9 years ago

Michuzi

TCCIA Investment Limited yatangaza kukua kwa mtaji

Kampuni ya TCCIA Investment Limited imeongeza mtaji wake kutoka Tshs Bilioni 21 mwaka 2013/2014 hadi kufikia Tshs Bilioni 33 mwaka 2014/2015 kutoka kwa wanahisa wake.  Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa kumi wa wanahisa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Donald Kamori alisema ongezeko hilo linatokana na usimamizi mzuri wa Bodi ya wakurugenzi wa TCCIA Investment Company Limited, kufanya kazi kwa ufasini na waledi. “Miaka kumi iliyopita mtaji wetu...

 

9 years ago

Bongo5

Hutobashiri staa aliyempa Mwana FA idea ya chorus ya ‘Asanteni kwa Kuja’

12298952_951039554970796_1769017982_n

Mwana FA amemtaja mtu aliyemsaidia kumpa idea ya chorus ya wimbo wake mpya ‘Asanteni kwa Kuja.’

12277548_1032344053484486_847392172_n
Mwana FA akiwa na P-Funk Majani na Hermy B

Mtu huyo si mwingine bali ni P-Funk Majani. “Mimi nilikuwa na jina la wimbo,” FA ameiambia Bongo5.

“Nikaenda na sampling mpaka kwa Hermy, tumekaa nje kwa Sallam meneja wa Diamond, Hermy akatengeneza beat, jamaa wanacheza ile foosball na akina Ambwene, tumekaa mimi na Hermy akatengeneza beat hapo hapo nje. Kwahiyo mimi nikawa nayo, jina la wimbo ninalo na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA TISA: Mtoto anaanza kukua kwa kasi

INAPOINGIA wiki hii, mtoto anakuwa amekua na kufikia urefu wa kama inchi moja hivi. Anakuwa ameshazidi ukubwa wa haragwe ambao alikuwa nao wiki iliyopita. Wakati huu anakuwa ameshaanza kuonyesha viungo...

 

9 years ago

StarTV

Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule

Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.

Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani