Mfumo wa matokeo kwa sms ni kukua kwa elimu
MIAKA ya 70 iliyopita hali ya elimu nchini haikuwa ya kuridhisha kutokana na kukosekana vifaa vya kufundishia na madarasa ya kutosha, tofauti na sasa mambo yamekuwa mazuri kila kitu kinafanyika kwa kimaendeleo.
Mfumo ambao nataka kuuzungumia hapo ulikuwa ni ule wa wanafunzi walivyokuwa wanasoma huku wamekaa chini au pembezoni mwa miti kutokana na kukosa madawati.
Kwa sasa tumepiga hatua kubwa katika maendeleo ya sekta ya elimu hasa baada ya uwekezaji wa elimu kuongezeka kwa kiasi...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
NECTA kutoa matokeo kwa mfumo wa GPA
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limetangaza mfumo mpya wa upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa kutumia wastani wa pointi (GPA) ambao utaanza kutumika katika mtihani wa kidato cha nne...
11 years ago
MichuziKUKUA KWA KASI KWA BIMA INAYOFUATA MAADILI YA KI-ISLAMU
10 years ago
Habarileo31 Jan
Elimu waokoa mil 33/- kwa kutangaza matokeo mtandaoni
WIZARA ya Elimu imesema imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 33 ambazo zilikuwa zikitumika kwa ajili ya kutoa matangazo ya mitihani kwa wanafunzi wa kidatu cha pili na darasa la saba katika vyombo vya habari.
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Kukua au kujaa matiti kwa mwanaume
11 years ago
BBCSwahili14 May
Vifaa vinavyoendeshwa kwa SMS
10 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziTCCIA Investment Limited yatangaza kukua kwa mtaji
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
UJAUZITO WIKI YA TISA: Mtoto anaanza kukua kwa kasi
INAPOINGIA wiki hii, mtoto anakuwa amekua na kufikia urefu wa kama inchi moja hivi. Anakuwa ameshazidi ukubwa wa haragwe ambao alikuwa nao wiki iliyopita. Wakati huu anakuwa ameshaanza kuonyesha viungo...
10 years ago
Mwananchi19 May
Waibua maswali kusimamishwa kazi kwa aliyemtumia ‘SMS’ JK