Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu waokoa mil 33/- kwa kutangaza matokeo mtandaoni

WIZARA ya Elimu imesema imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 33 ambazo zilikuwa zikitumika kwa ajili ya kutoa matangazo ya mitihani kwa wanafunzi wa kidatu cha pili na darasa la saba katika vyombo vya habari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

ZEC: Maalim Seif anapaswa kuchuliwa hatua za kisheria kwa kutangaza matokeo

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imesikitishwa na kitendo cha mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kujitangazia ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili tarehe 25 Oktoba, 2015 na imevitaka vyombo vinavyosimamia utii wa sheria kumchukulia hatua kiongozi huyo wa CUF.

“kitendo cha Maalim Seif kujitangaza mshindi amevunja kifungu cha 42 (5) cha sheria ya mwaka 1984 ambacho kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kuwa chombo pekee chenye mamlaka hayo” Mwenyekiti...

 

10 years ago

Habarileo

Ofisa elimu kortini kwa kutapeli mil 5.4/-

OFISA Elimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Julius Mduma amefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kiteto na kushtakiwa kwa kosa la kujipatia Sh 5.4 milioni kwa njia ya udanganyifu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mfumo wa matokeo kwa sms ni kukua kwa elimu

MIAKA ya 70 iliyopita hali ya elimu nchini haikuwa ya kuridhisha kutokana na kukosekana vifaa vya kufundishia na madarasa ya kutosha, tofauti na sasa mambo yamekuwa mazuri kila kitu kinafanyika kwa kimaendeleo. 

Mfumo ambao nataka kuuzungumia hapo ulikuwa ni ule wa wanafunzi walivyokuwa wanasoma huku wamekaa chini au pembezoni mwa miti kutokana na kukosa madawati.

Kwa sasa tumepiga hatua kubwa katika maendeleo ya sekta ya elimu hasa baada ya uwekezaji wa elimu kuongezeka kwa kiasi...

 

9 years ago

Michuzi

KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

JAMHURI YA MUUNGANO WA  TANZANIAMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu utangazaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa vyombo vya utangazaji kwa mujibu wa Kanuni za Huduma za Utangazaji (Maudhui) (Utangazaji wa Uchaguzi wa Vyama vya Siasa), 2015. Kanuni hizi zipo kwa mujibu wa Sheria kama ilivyotolewa na Gazeti la Serikali la Tarehe 26 Juni, 2015. Kanuni hizi zinalenga kuweka utaratibu mzuri wa...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC kutangaza matokeo urais ndani ya siku tatu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema itatangaza  matokeo ya urais ndani ya siku tatu kwa sababu watatumia Mfumo wa Kusimamia Matokeo (RMS) ambao utawawezesha kupokea, kujumlisha na kutangaza matokeo.

 

9 years ago

GPL

NEC YAKAMILISHA ZOEZI LA KUTANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo imekamilisha zoezi la kutangaza matokeo ya awali ya Urais kwa majimbo yote 264 yaliyoshiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Akizungumza wakati wa kukamilisha zoezi hilo lililokuwa likifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva amesema kuwa kazi ya kutangaza...

 

10 years ago

Vijimambo

TAASISI YA KIFEDHA YA BAYPORT YAKABIDHI HUNDI YA MIL 3 KWA WATEGEMEZI WA FAO LA ELIMU MKOANI MBEYA

Mratibu Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, akizungumza na baadhi ya watumishi wa shule ya sekondari Jamsi Sangu (hawapo pichani ) juu ya namna ya kujiunga na fao hilo kabla ya kufanyika kwa zoezi la makabidhiano ya hundi kwa Jaqline Ndyamkama ambaye ni mwanafunzi wa shule hiyo yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mzazi wake ambaye alikuwa mteja wa taasisi hiyo kufariki dunia., (Picha zote Emanuel Madafa Jamiimoja...

 

9 years ago

Michuzi

ACT WAZALENDO WAMWOMBA RAIS MAGUFULI KUAMURU ZEC KUTANGAZA MATOKEO ZANZIBAR

CHAMA Chama cha ACT Wazalendo kimemwomba Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John  Magufuli  ahakikishe Tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) itangaze matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu ili walioshinda watangazwe na waapishwe kwaajili ya kuanza kazi katika serikali ya Zanzibar ikiwa mpaka sasa  Zanzibar haina Serikali.
Zitto amesema kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) hakuwa na mamlaka yoyote ile katika tume hiyo ya kukufuta  matokeo ya uchaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani