TCCIA Investment Limited yatangaza kukua kwa mtaji
Kampuni ya TCCIA Investment Limited imeongeza mtaji wake kutoka Tshs Bilioni 21 mwaka 2013/2014 hadi kufikia Tshs Bilioni 33 mwaka 2014/2015 kutoka kwa wanahisa wake. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa kumi wa wanahisa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Donald Kamori alisema ongezeko hilo linatokana na usimamizi mzuri wa Bodi ya wakurugenzi wa TCCIA Investment Company Limited, kufanya kazi kwa ufasini na waledi. “Miaka kumi iliyopita mtaji wetu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5HJsTL5X4Zg/XrjkzKdXLtI/AAAAAAAEG-Q/Cr2LfACHXhM3HzJKmWGpWIGuHkhC3qf-ACLcBGAsYHQ/s72-c/download.jpg)
Vodacom Yatangaza Kukua kwa Biashara, yaendelea Kuongoza katika umiliki wa soko la wateja.
![](https://1.bp.blogspot.com/-5HJsTL5X4Zg/XrjkzKdXLtI/AAAAAAAEG-Q/Cr2LfACHXhM3HzJKmWGpWIGuHkhC3qf-ACLcBGAsYHQ/s1600/download.jpg)
Yaendelea kuongoza soko baada ya kufikisha wateja milioni 15.5.Yatumia Shilingi 154.6 bilioni kuboresha miundombinu ya mawasiliano hivyo kunufaisha wateja kwa huduma bora na za kiwango cha juu. Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC imetoa matokeo ya awali ya kifedha kwa mwaka unaoishia tarehe 31 Machi 2020, ikionyesha ukuaji wa kibiashara unaodhihirishwa na ongezeko la umiliki wake wa soko kufikia asilimia 32.8 baada ya kuongeza idadi ya wateja wake...
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ji91JCZDQgk/U7PNIQ_UktI/AAAAAAAFuMI/-TRZxgMsJyM/s72-c/New+Picture+(1).png)
KUKUA KWA KASI KWA BIMA INAYOFUATA MAADILI YA KI-ISLAMU
![](http://2.bp.blogspot.com/-ji91JCZDQgk/U7PNIQ_UktI/AAAAAAAFuMI/-TRZxgMsJyM/s1600/New+Picture+(1).png)
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Mfumo wa matokeo kwa sms ni kukua kwa elimu
MIAKA ya 70 iliyopita hali ya elimu nchini haikuwa ya kuridhisha kutokana na kukosekana vifaa vya kufundishia na madarasa ya kutosha, tofauti na sasa mambo yamekuwa mazuri kila kitu kinafanyika kwa kimaendeleo.
Mfumo ambao nataka kuuzungumia hapo ulikuwa ni ule wa wanafunzi walivyokuwa wanasoma huku wamekaa chini au pembezoni mwa miti kutokana na kukosa madawati.
Kwa sasa tumepiga hatua kubwa katika maendeleo ya sekta ya elimu hasa baada ya uwekezaji wa elimu kuongezeka kwa kiasi...
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Kukua au kujaa matiti kwa mwanaume
5 years ago
Associates 9912 Mar
Global Fruit Drinks Market 2020 Dole, Tang, Nongfuspring, Chivita Limited, Coca-Cola, Coconutpalm, Dansa Foods Limited
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
UJAUZITO WIKI YA TISA: Mtoto anaanza kukua kwa kasi
INAPOINGIA wiki hii, mtoto anakuwa amekua na kufikia urefu wa kama inchi moja hivi. Anakuwa ameshazidi ukubwa wa haragwe ambao alikuwa nao wiki iliyopita. Wakati huu anakuwa ameshaanza kuonyesha viungo...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/jyoIciI-psc/default.jpg)
11 years ago
Ykileo![](http://3.bp.blogspot.com/-u4EdETzm6pA/U1dzWf929qI/AAAAAAAAAW8/Lu95EFJmGHs/s72-c/Aina+nyingine.jpg)
TAHADHARI: AINA MPYA YA UHALIFU MTANDAO INAYO ENDELEA KUKUA KWA KASI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-u4EdETzm6pA/U1dzWf929qI/AAAAAAAAAW8/Lu95EFJmGHs/s1600/Aina+nyingine.jpg)
Kwanza kabisa, Faili lolote ambalo linasomeka na kiambatanishi .exe mfano: umoja.exe nifaili ambalo limedhamiriwa kuingizwa kuwa ni moja ya program za komputa hivyo kabla ya kubonyeza...