Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUKUA KWA KASI KWA BIMA INAYOFUATA MAADILI YA KI-ISLAMU

Katika biashara zinazokua kwa kasi duniani ni biashara ya bima inayofuata maadili ya ki- Islam inayojulikana kama ‘Takaful’. Misingi ya bima inayofuata maadili ya ki - Islam ni ushirikiano wa pande zote zinazohusika ktk biashara hiyo. Washiriki wote katika Takaful watashirikiana katika faida na hasara, kwa mfano, yoyote atakaenunua bima hiyo atakua ni kama mjasiri mali (investor) sambamba na yule anaendesha biashara hiyo (the takaful operator) na pande nyingine zitakazohusika kama vile...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA TISA: Mtoto anaanza kukua kwa kasi

INAPOINGIA wiki hii, mtoto anakuwa amekua na kufikia urefu wa kama inchi moja hivi. Anakuwa ameshazidi ukubwa wa haragwe ambao alikuwa nao wiki iliyopita. Wakati huu anakuwa ameshaanza kuonyesha viungo...

 

11 years ago

Ykileo

TAHADHARI: AINA MPYA YA UHALIFU MTANDAO INAYO ENDELEA KUKUA KWA KASI.


Wahalifu mtandao wameendelea kubuni aina mpya za kufanikisha uhalifu wa mitandao hasa katika makampuni. Hili limeonekana kushika kasi katika maeneo mbali mbali na limeingia katika mijadala na kuwa ni moja ya maswala yaliyo hamasishwa kufikiswhwa kwa jamii ili kuendelea kukuza uelewa wa makosa mtandao.


Kwanza kabisa, Faili lolote ambalo linasomeka na kiambatanishi .exe mfano: umoja.exe nifaili ambalo limedhamiriwa kuingizwa kuwa ni moja ya program za komputa hivyo kabla ya kubonyeza...

 

11 years ago

Michuzi

TAHADHARI: AINA MPYA YA UHALIFU MTANDAO INAYO ENDELEA KUKUA KWA KASI HIVI SASA.

Wahalifu mtandao wameendelea kubuni aina mpya za kufanikisha uhalifu wa mitandao hasa katika makampuni. Hili limeonekana kushika kasi katika maeneo mbali mbali na limeingia katika mijadala na kuwa ni moja ya maswala yaliyo onekana yana haja kufikiswhwa kwa jamii ili kuendelea kukuza uelewa wa makosa mtandao. Kwanza kabisa, Faili lolote ambalo linasomeka na kiambatanishi .exe mfano: umoja.exe nifaili ambalo limedhamiriwa kuingizwa kuwa ni moja ya program za komputa hivyo kabla ya kubonyeza...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mfumo wa matokeo kwa sms ni kukua kwa elimu

MIAKA ya 70 iliyopita hali ya elimu nchini haikuwa ya kuridhisha kutokana na kukosekana vifaa vya kufundishia na madarasa ya kutosha, tofauti na sasa mambo yamekuwa mazuri kila kitu kinafanyika kwa kimaendeleo. 

Mfumo ambao nataka kuuzungumia hapo ulikuwa ni ule wa wanafunzi walivyokuwa wanasoma huku wamekaa chini au pembezoni mwa miti kutokana na kukosa madawati.

Kwa sasa tumepiga hatua kubwa katika maendeleo ya sekta ya elimu hasa baada ya uwekezaji wa elimu kuongezeka kwa kiasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Bima Lee: Bendi ya Shirika la Bima iliyotamba kwa mtindo wa Magnet Tingisha

Muziki wa dansi nchini una historia pana ikiwahusisha wanamuziki, kazi zao na bendi walizowahi kupitia kama ajira lakini pia kukua kimuziki.

 

10 years ago

Michuzi

Sekretarieti ya Maadili waendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Polisi Zanzibar

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano ulioko katika Chuo cha Polisi mjini Zanzibar.
Mafunzo hayo yana lengo la kuwasaidia watendaji hao wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar kuweza kuondokana na changamoto nyingi za uvunjifu wa maadili ambazo watendaji hao wamekuwa wakikabiliana nazo.
Mafunzo hayo pia yana lengo la kuwakumbusha watendaji hao jinsi...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei...

 

10 years ago

Mwananchi

Kukua au kujaa matiti kwa mwanaume

Kwa kawaida mwanaume ameumbwa kuwa na matiti madogo, ugonjwa wa wanaume kuwa na matiti makubwa kama wanawake huleta usumbufu hasa wa kisaikologia kwa mwanume husika.

 

9 years ago

Michuzi

TCCIA Investment Limited yatangaza kukua kwa mtaji

Kampuni ya TCCIA Investment Limited imeongeza mtaji wake kutoka Tshs Bilioni 21 mwaka 2013/2014 hadi kufikia Tshs Bilioni 33 mwaka 2014/2015 kutoka kwa wanahisa wake.  Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa kumi wa wanahisa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Donald Kamori alisema ongezeko hilo linatokana na usimamizi mzuri wa Bodi ya wakurugenzi wa TCCIA Investment Company Limited, kufanya kazi kwa ufasini na waledi. “Miaka kumi iliyopita mtaji wetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani