Waibua maswali kusimamishwa kazi kwa aliyemtumia ‘SMS’ JK
>Nani alivujisha siri? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya wananchi wengi sasa, baada ya Hospitali ya KCMC kumsimamisha kazi mtumishi wake, kwa madai ya kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 May
Aliyemtumia meseji JK hakustahili kusimamishwa-Wizara
9 years ago
MichuziWaziri Simbachawene aagiza kusimamishwa kazi kwa maafisa biashara wawili wa manispaa ya Dodoma
Kutokana na hali hiyo Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kumuondoa kwenye...
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Utafiti Twaweza waibua maswali 14
9 years ago
Mtanzania12 Dec
MAWAZIRI WA JPM WAIBUA MASWALI
Na Waandishi Wetu
BARAZA la Mawaziri la Rais John Magufuli alilolitangaza juzi limezua maswali mengi, kutokana na kile kinachoelezwa kujaa makosa mengi ya kimantiki na kiufundi.
Wasomi na watu wa kada mbalimbali ambao wameutazama muundo pamoja na aina ya watu walioteuliwa kuunda Baraza hilo la Mawaziri wameyataja mambo sita ambayo yanaonekana kujenga taswira ya kuwako kwa nyufa katika baraza hilo.
Mambo hayo ni pamoja na uteuzi kutozingatia suala la Muungano, uwiano wa mikoa, mawaziri wasio...
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Ukawa waibua maswali 18 utafiti Twaweza
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Utafiti wa CCM waibua maswali-Wadau
9 years ago
GPLWIMBO WA SORRY WA CHRIS BROWN WAIBUA MASWALI!
5 years ago
CCM BlogRC KAGERA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WATUMISHI WANNE NA WATENDAJI WENGINE 30 KUKAMATWA WILAYANI BIHARAMULO KWA UBADHILIFU WA SH. MILIO 307.
Na Allawi Kaboyo, Biharamulo.
Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewaagiza Kamanda wa Polisi na Kamanda wa TAKUKURU mkoani Kagera kuwakamata watumishi 34 katika Halmashauri ya wilaya Biharamulo wakiwemo watendaji wa vijiji...
9 years ago
VijimamboUtafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...