Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyemtumia meseji JK hakustahili kusimamishwa-Wizara

Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amesema hatua iliyochukuliwa na uongozi wa KCMC ya kumsimamisha kazi mtumishi wa Idara ya Uhasibu, Paul Mhumba siyo sahihi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waibua maswali kusimamishwa kazi kwa aliyemtumia ‘SMS’ JK

>Nani alivujisha siri? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya wananchi wengi sasa, baada ya Hospitali ya KCMC kumsimamisha kazi mtumishi wake, kwa madai ya kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Warioba hakustahili kutukanwa matusi haya

RAIS Jakaya Kikwete alimteua aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ili aiongoze tume hiyo katika kuwapatia Watanzania Katiba iliyo bora. Wakati baadhi ya watu wanaamini...

 

11 years ago

GPL

CHAZ BABA: SAJENT HAKUSTAHILI KUOLEWA NA MIMI

Na  Musa Mateja
RAIS wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ hakustahili kuwa mkewe licha ya kwamba walizaa naye mtoto mmoja.
Akizungumza na Global TV Online hivi karibuni, Chaz Baba alisema Sajent ni mwanamke mzuri lakini hana vigezo vya kuolewa na yeye kwani wote ni maarufu. Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel...

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani wazembe CCM kusimamishwa uanachama

Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rorya mkoani Mara, kimewaagiza madiwani wake kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo la sivyo watasimamishwa uanachama.

 

10 years ago

Vijimambo

Sitta apokea meseji za matusi

Dodoma. Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amesema anapokea meseji za simu zaidi ya 50 kwa siku za kumtukana na kusisitiza ataendelea kupambana kuhakikisha Katiba inayopendekezwa inapatikana.Sitta alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana wakati akielezea kutoridhishwa kwake na kile alichodai ni namna hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Saed Kubenea inavyopotoshwa na wanaomchukia.“Kuna baadhi ya vyombo vya habari wananichukia mimi binafsi. Wasichanganye chuki hizo na mchakato wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwongozo utumaji meseji waja

WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, ameagiza wataalamu  kutayarisha mwongozo kwa ajili ya kampuni za simu, utakaoelekeza jinsi ya kutuma meseji katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapinga kortini Bunge la Katiba kusimamishwa

Serikali imewasilisha mahakamani pingamizi la kisheria dhidi ya maombi ya kusimamishwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, kutokana na kesi ya kikatiba namba 28 ya mwaka 2014 iliyofunguliwa na mwanahabari, Said Kubenea.

 

11 years ago

Mwananchi

Hapokei, wala hajibu meseji zangu

Shangazi niko kwenye uhusiano na msichana mmoja aliye mbali kwa sasa. Kinachonisibu ni kwamba, ni muda mrefu sasa hapokei simu yangu wala hajibu ujumbe ninaomtumia nifanyeje?

 

10 years ago

GPL

OYA MASELA... SAILENTI MESEJI SENTI!

Oya masela inakuwaje hapo kwa fasi ya kitaa? Ama nini? Kipande hii mia arifu. Kama vipi tupige dauni mastori moo ya yule misi bomba wa mwaka huu na almasi ambaye alikula za uso pale Lidazi daadeki.
Kilinukaje? Unaleta nyodo kwa watoto wa mbwa? Utakula mayai viza fasta arifu. Unamanya kwamba wanaokupaisha ndo haohao watakaokupiga dauni mwana? Eti nabii hakubaliki kwao? Teeh…teeh! Kaa humu wewe upate kitu roho inataka....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani