Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwongozo utumaji meseji waja

WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, ameagiza wataalamu  kutayarisha mwongozo kwa ajili ya kampuni za simu, utakaoelekeza jinsi ya kutuma meseji katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Sitta apokea meseji za matusi

Dodoma. Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amesema anapokea meseji za simu zaidi ya 50 kwa siku za kumtukana na kusisitiza ataendelea kupambana kuhakikisha Katiba inayopendekezwa inapatikana.Sitta alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana wakati akielezea kutoridhishwa kwake na kile alichodai ni namna hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Saed Kubenea inavyopotoshwa na wanaomchukia.“Kuna baadhi ya vyombo vya habari wananichukia mimi binafsi. Wasichanganye chuki hizo na mchakato wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyemtumia meseji JK hakustahili kusimamishwa-Wizara

Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amesema hatua iliyochukuliwa na uongozi wa KCMC ya kumsimamisha kazi mtumishi wa Idara ya Uhasibu, Paul Mhumba siyo sahihi.

 

10 years ago

Mwananchi

Asimamishwa kazi kwa kumtumia JK ‘meseji’

>Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Mwananchi

Aua mtoto, ajiua kisa meseji

Mkazi wa Mji wa Kisoko, Philip Wandera (27) amejitupa na wanawe wawili katika Mto Sio, baada ya kuzozana na mkewe kuhusu ujumbe mfupi(sms) alioupata katika simu yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Hapokei, wala hajibu meseji zangu

Shangazi niko kwenye uhusiano na msichana mmoja aliye mbali kwa sasa. Kinachonisibu ni kwamba, ni muda mrefu sasa hapokei simu yangu wala hajibu ujumbe ninaomtumia nifanyeje?

 

10 years ago

GPL

OYA MASELA... SAILENTI MESEJI SENTI!

Oya masela inakuwaje hapo kwa fasi ya kitaa? Ama nini? Kipande hii mia arifu. Kama vipi tupige dauni mastori moo ya yule misi bomba wa mwaka huu na almasi ambaye alikula za uso pale Lidazi daadeki.
Kilinukaje? Unaleta nyodo kwa watoto wa mbwa? Utakula mayai viza fasta arifu. Unamanya kwamba wanaokupaisha ndo haohao watakaokupiga dauni mwana? Eti nabii hakubaliki kwao? Teeh…teeh! Kaa humu wewe upate kitu roho inataka....

 

10 years ago

GPL

OYA MENTA KAMA MESEJI ZINAFELI ZIHAMISHE SKONGA!

Niaje mamenta wangu? Mpo biyee wazazi? Ukiona manyoya ujue keshaliwa na ukiona nipo kwa mahewa hapa jamvini, ujue nipo rede kukisanua wanangu! Mbishe zinasemaje wazazi kipande hiyo? Kama freshi, basi barida! Ishu za politiksi zinamiksi kozi kila anayetangaza nia ya kuwa prezidaa wa Bongoland anapita mlemle kwa mwenzake. Ni ishu za kukopi na kupesti bila hata kuboresha mazee! Dheni kuna wanaozungumza ishu fekelo kabisa bati wana...

 

10 years ago

GPL

ASIMAMISHWA KAZI KWA KUMTUMIA JK ‘MESEJI’

Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba. Moshi.
Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete. Kuvuja kwa ujumbe huo na nambari ya simu iliyotuma, kumeibua hisia tofauti kuhusu usiri wa ofisi ya Rais katika kushughulikia malalamiko nyeti ya wananchi na kuwaweka njiapanda watoa habari za siri. Mhumba, ambaye pia ni...

 

9 years ago

GPL

UNAPIGIWA SIMU HUPOKEI, UNASONYA...UNATUMA MESEJI... MPENZI WAKO AKUELEWE VIPI?

ASSALAAM aleikum na Bwana Yesu asifiwe wapenzi wasomaji. Ninafurahishwa na jinsi mnavyoniunga mkono kunisoma na kunipa maoni yenu. Hakika nitaendelea kuwaelimisha kwa kila ninachoona kinafaa kuwafikia ili kuwekana sawa ndani ya maisha ya uhusiano. Leo nimekuja na mada hii; UNAPIGIWA SIMU HUPOKEI, UNASONYA...UNATUMA MESEJI...MPENZI WAKO AKUELEWE VIPI?
Mada hii inawahusu wapendanao wote. Wewe mwanamke na wewe mwanaume....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani